Katika hali ya kawaida lazima ishangaze lakini lengo lilikuwa ni kuonyesha tu ni jinsi gani baba yaani Will Smith anampenda na yuko karibu mno na mwanae Jaden Smith mpaka kufikia hatua ya kumla denda mbele ya kioo cha Thai Television walipokwenda kui-promote movie yao ya 'After Earth'!
Woody Milintachinda ndiye mwanzilishi wa tukio hilo katika kipindi chake cha The Woody Talk huko Thailand pale alipouliza kama Will na Jaden wana ukaribu wowote kama baba na mwana katika maisha yao ya kawaida (maisha halisi) kwasababu kwenye movie yao walioitoa hivi karibuni ya 'After Earth' hakuna ukaribu wowote baina yao. Katika kutaka kuudhihirishia ulimwengu kuwa yeye na mwanae wako karibu kuliko watu wanavyofikiri basi akaamua kumpiga kiss mwanae Jaden
Hii ndio trailer la 'After Earth':-
:
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Friday, 14 June 2013
Wednesday, 12 June 2013
ASHANTI KUTOKA UPYA NA JA RULE
Unazikumbuka hits "Always On Time" and "Mesmerize". Ni ngoma zilizowatakatisha vizuri Ja Rule na Ashanti na kuwafanya waoenekane moja kati ya collaboraters wakati huo. Sasa baada ya Ja Rule kutoka jela, Ashanti amesema kuwa yupo mbioni kufanya tena ngoma kadhaa na rapper Ja Rule.
Wakati huo huo Ashanti yupo katika harakati za kutoa albam yake mpya "BraveHeart" itakayotoka tarehe 30 July akiwashirikisha wasanii kama Meek Mill, french Montana na singer Keyshia Cole.
Wakati huo huo Ashanti yupo katika harakati za kutoa albam yake mpya "BraveHeart" itakayotoka tarehe 30 July akiwashirikisha wasanii kama Meek Mill, french Montana na singer Keyshia Cole.
Tuesday, 11 June 2013
MARIO BALOTELLI AMVISHA PETE DEMU WAKE!
Kupitia akaunti yake ya Instagram, mpenzi wake 'Super' Mario Balotelli, Fanny Negeusha amepost picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na Balotelli. Pete hiyo inagharimu kiasi cha £100,000/=.
Fanny Negeusha, Belgian model aliandika chini ya picha hiyo kuwa 'It's official!'. Miezi 6 imepita toka uhusiano wao uanze na inasemekana kuwa Balotelli na Fanny wako katika maandalizi ya harusi yao!
Fanny Negeusha, Belgian model aliandika chini ya picha hiyo kuwa 'It's official!'. Miezi 6 imepita toka uhusiano wao uanze na inasemekana kuwa Balotelli na Fanny wako katika maandalizi ya harusi yao!
Monday, 10 June 2013
RIHANNA AVUNJA REKODI UFARANSA
Haijawahi kutokea! Katika umri wa miaka 25 tu, Rihanna ameweza kuweka historia kwa kuujaza uwanja wa kandanda wa Stade De France alipogonga show yake ya wazi Week-end hii. Ni Lady Gaga pekee ndio aliyekuwa ameishikilia rekodi hiyo kwa kuutitirisha uwanja huo akiwa na umri mdogo, miaka 26 lakini Rihanna amemfunika vibaya Lady Gaga huku Rihanna akiwa ana miaka 25 tu.
Mmoja kati ya fans wake ali-tweet hivi baada ya show hiyo:
"Rihanna is also the youngest person to ever headline Stade De France"
Mmoja kati ya fans wake ali-tweet hivi baada ya show hiyo:
"Rihanna is also the youngest person to ever headline Stade De France"
CHRIS BROWN MAHAKAMANI LEO
The bad boy Chris Brown anatarajiwa kukutana uso kwa uso na pilato leo hii mezani kukiwa na mashtaka yanayomkabili kwamba hakukamilisha muda rasmi aliotakiwa kuitumikia jamii (community service), ikiwa kama adhabu baada ya kukutwa na hatia ya kumchapa makonde aliyekuwa girlfriend wake, Rihanna, mwaka 2009. Chriss Brown alitakiwa aitumikie jamii kwa siku 180 na April mwaka huu alikuwa mahakama lakini pilato aliihairisha kesi hiyo baada ya kukosa baadhi ya taarifa muhimu.
Chris Brown yupo mbioni kutoa albam yake ya 6 iitwayo "X", tarehe 16, July akiwashirikisha Kendrick Lamar, Nicki Minaj, Wiz Khalifa na Jennifer Lopez na tayari ameshatanguliza ngoma ya 'Fine China" ambayo ipo namba 31 katika Billboard Hot 100 chart.

Subscribe to:
Posts (Atom)