Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday, 26 September 2012

WASHINDI WA BIBI BOMBA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO LEO JIJINI DAR

Bibi Anna Saidi mshindi wa pili wa shindano la Bibi Bomba akipokea zawadi yake
Wasiwasi Mwabulambo (kulia), Babuu wa Kitaa toka Clouds TV  na Josephine Kulwa toka NMB


Bibi Veronica Mpandala aka Tukinao ambaye aliibuka mshindi wa shindano la Bibi Bomba (kushoto), Anna Said-mshindi wa pili (katikati) na Nasra Mohamed Abdul

Bibi Nasra Abdul akipokea zawadi yake toka kwa wadhamini wa shindano hilo

Bibi Tukinao akipokea zawadi yake toka kwa meneja wa NMB aitwaye Josephine Kulwa

BRAND NEW SONG: PRICES- CAMP MULLA FEAT. WIZ KID


BREAKING NEWS: DJ STYLES GOT ENGAGED


Kwa wafuatiliaji wa burudani ya East Africa watakuwa wanamjua DJ Styles ambaye ni mmoja wa waanzlishi wa the hottest deejaying crew ya CodeRED DJs ya Kenya.Kama pia ulikuwa party animal huna sababu ya kutokumjua dj huyu aliekuwa akispin at Runaway kwenye Thursday Is The New Friday iliyokuwa ikiandaliwa na CodeRED Ent. Tanzania.
Habari mbaya kwa chicks waliokuwa wakimmezea mate DJ huyu mwenye mafanikio makubwa kwenye tasnia hiyo kwa ukanda huu wa  Afrika Mashariki ni kwamba Styles amemvisha pete his long time galfriend aitwaye Wambui Wanyoike na siku si nyingi watapandishana altareni kula kiapo cha kuishi kama mume na mke hadi kifo kitakapowatenganisha. 
We at TzTopModel will like to wish them all the best kwenye upcoming nuptial yao.....Hongera sana Styles

NEW SONG: DIAMONDS - RIHANNA






EXCLUSIVE: PICHA ZA THE LUCKY MAN WA IREEN TILLYA HIZI HAPA

Ireen Tillya

Kwenye pita pita za cop wa site hii alizifuma picha za mchumba wa Ireen Tillya (blood sister wa marehemu Vivian Tillya) ambaye zamani alikuwa akifanya kazi Kiss FM ya Mwanza kabla ya kuchapa lapa na kuhamia Tone Online Radio iliyoko hapa jijini Dar es Salaam anakofanya kazi kwa sasa...
Jionee mwenyewe picha za the lucky man huyo hapo chini...