Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday 26 September 2012

BREAKING NEWS: DJ STYLES GOT ENGAGED


Kwa wafuatiliaji wa burudani ya East Africa watakuwa wanamjua DJ Styles ambaye ni mmoja wa waanzlishi wa the hottest deejaying crew ya CodeRED DJs ya Kenya.Kama pia ulikuwa party animal huna sababu ya kutokumjua dj huyu aliekuwa akispin at Runaway kwenye Thursday Is The New Friday iliyokuwa ikiandaliwa na CodeRED Ent. Tanzania.
Habari mbaya kwa chicks waliokuwa wakimmezea mate DJ huyu mwenye mafanikio makubwa kwenye tasnia hiyo kwa ukanda huu wa  Afrika Mashariki ni kwamba Styles amemvisha pete his long time galfriend aitwaye Wambui Wanyoike na siku si nyingi watapandishana altareni kula kiapo cha kuishi kama mume na mke hadi kifo kitakapowatenganisha. 
We at TzTopModel will like to wish them all the best kwenye upcoming nuptial yao.....Hongera sana Styles

No comments:

Post a Comment