Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Friday, 21 September 2012

ALBUM YA CAMP MULLA 'FUNK TOWN' KUUZWA SHILINGI 250 ZA KENYA

Camp Mulla wanatarajiwa ku-release album yao ya kwanza toka waingie kwenye music scene kwa jina la 'Funky Town' officially hapo kesho ((22nd September 2012).
Album hii itakuwa ikiuzwa kwa shilingi 250 ya Kenya.Pia album hii yenye nyimbo kumi na tano zenye collabo za wasanii toka Kenya na nje ya nchi hiyo itakuwa ikipatikana kwenye iTunes
.

EXCLUSIVE: MIKEL OBI ALAZIMIKA KU-DELETE TWITTER PAGE YAKE



Midfielder wa Chelsea toka nchini Nigeria, Mikel Obi jana alilazimika kui-delete twitter page yake baada ya kupokea barrage of racist abuse toka kwa fans wa timu hiyo waliokuwa wakimlalamikia yeye kutokana na draw ambayo Chelsea waliipata dhidi ya Juventus, juzi jumatano usiku at Stamford Bridge.
Ikikumbukwa vizuri kwenye mchezo wao wa juzi wa ligi ya mabingwa Ulaya aka UEFA Champions, dakika ya 80 Mikel alimisplace pass ambayo ilinaswa na  Fabio Quagliarella alietumia vizuri kosa hilo na kutupia mpira wavuni na hivyo kufanya matokea ya game hiyo kuwa 2 – 2 draw.
Akizungumza kwenye interview baada ya mchezo Mikel aliyasema haya, “If I want to make up an excuse, I can. But, for me, I gave the ball away. I put my hands up, we move on,” Mikel said.
“I’m sorry about the mistake, but there are no excuses.”


Hii ndiyo kauli ya Chelsea Official kufuatia kitendo cha Obi ku-delete page yake: 

 

Thursday, 20 September 2012

EXCLUSIVE VIDEO AFRICAN SWAGGER- ALPHA FEAT RAH P

EXCLUSIVE: CHECH OUT SNOOP LION AKIVUTA KUSH NA MWANAE WA MIAKA KUMI NA NANE

Snoop Lion
Snoop akiroll mdude na mwanae wa miaka 18  aitwae Corde Calvin Broadus

Corde akimuwashia dingi ake mjani


GOLDIE KUTUA BONGO SIKU SI NYINGI

Goldie akiwa na Kyle nchini Uganda

Baada ya Goldie kumtembelea Prezoo then kwenda Uganda kumchek mshiriki wa BBA ya mwaka huu toka nchini humo kwa jina la Kyle latest infoz ni kwamba mnigeria huyu soon ataikanyaga ardhi ya Tezee akiwa na Prezzo kwa ajili ya kufanya kazi za kimuziki na baadhi ya wasanii wa hapa nyumbani...