Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Friday 21 September 2012

EXCLUSIVE: MIKEL OBI ALAZIMIKA KU-DELETE TWITTER PAGE YAKE



Midfielder wa Chelsea toka nchini Nigeria, Mikel Obi jana alilazimika kui-delete twitter page yake baada ya kupokea barrage of racist abuse toka kwa fans wa timu hiyo waliokuwa wakimlalamikia yeye kutokana na draw ambayo Chelsea waliipata dhidi ya Juventus, juzi jumatano usiku at Stamford Bridge.
Ikikumbukwa vizuri kwenye mchezo wao wa juzi wa ligi ya mabingwa Ulaya aka UEFA Champions, dakika ya 80 Mikel alimisplace pass ambayo ilinaswa na  Fabio Quagliarella alietumia vizuri kosa hilo na kutupia mpira wavuni na hivyo kufanya matokea ya game hiyo kuwa 2 – 2 draw.
Akizungumza kwenye interview baada ya mchezo Mikel aliyasema haya, “If I want to make up an excuse, I can. But, for me, I gave the ball away. I put my hands up, we move on,” Mikel said.
“I’m sorry about the mistake, but there are no excuses.”


Hii ndiyo kauli ya Chelsea Official kufuatia kitendo cha Obi ku-delete page yake: 

 

No comments:

Post a Comment