Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Thursday, 23 August 2012
MB DOGG KWENYE MOVIE
Filamu kali na ya kusisimua ya Nankonda wa Mikindani inayotarajia
kuingia sokoni hivi karibuni ndio itakayokuwa filamu ya kwanza
kumtambulisha msanii wa Bongo fleva kwa jina la Mbwana Mohamed
aka ‘Mb Dogg’ kuingia katika tasnia ya filamu.
Filamu hiyo ambayo Mb Dogg amacheza kama mhusika mkuu imetayarishwa na Dr. Cool Production company.
“Uwezo alionyesha Mb Dogg ni wa hali ya juu sana, utafikiri alikuwepo katika tasnia ya uigizaji kwa miaka mingi , msanii amebeba uhusika kulingana na hadithi yenyewe nasema ni msanii anayejua kuigiza na hilo mtalismtalishuhudia katika filamu hiyo,” said Mzee Korongo.

NYUMBA MPYA YA CEO WA CASH MONEY
Ronald
Williams Aka Slim ambaye ndio C.E.O Wa Cash Money ndiye amenunua nyumba
ya thamani ya Dollar zaki Marekani Milliom $ 7.15. Ni Nyumba yenye
vyumba 9 vya kulala ,Mabafu 12.
Unuunnuzi wa nyumba hii umekuwa wa siri sana kitu ambacho ni tafauti na wasanii wa kundi hilio la Cash Money huwa wanapenda kutangaza mambo yao yote ya thamani. Ronald ni kaka wa Bryan 'Birdman' Williams na ni mmoja wa wadau matajiri sana kwenye mziki Marekani mwenye Thamani ya Dollar za Kimarekani Million $100

BREAKING NEWS: KALALA JUNIOR AREJEA TWANGA PEPETA
![]() |
| Kalala mwenye shades akiwa na wasanii wengine wa Twanga mapema leo |
Chezea Asha Baraka wewe.
Baada ya kujeruhiwa na wamiliki wa Mashujaa Band kwa kuwachukua wasanii wake nguli akiwamo Charlz Baba, round hii Asha ambaye ni manager wa Twanga Pepeta amefanya vitu vyake baada ya leo hii kumrudisha kundini Kalala Junior ambaye miezi miwili iliyopita aliikacha band ya Mapacha Watatu alikokuwa akipiga mzigo.
Ikikumbukwa vizuri miaka michache iliyopita Kalala alijitoa Twanga na kwenda kujiunga na Mapacha Watu alikokuwa akishirikiana na kina Jose Mara na Khalid Chokoraa.
Unaambiwa katiaka hali ya kuonyesha karudi nyumbani kwa hasira, tayari Kalala amesha-record nyimbo mbili ziitwazo "Nyumbani ni Nyumbani" na "Ushirika ni Sawa na Koti Likikubana Livue".
Subscribe to:
Posts (Atom)