Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Monday 25 November 2013

BIFU LA JUDE NA PETER P-SQUARE LAENDELEA

Inaonekana sasa kuwa ule uadui kati ya Peter, Paul na kaka yao mkubwa Jude Okoye uko wazi hasa baada ya Jude kukacha kuhudhuria harusi ya mdogo wake Peter P-Square. Pamoja na kutotia maguu katika harusi hiyo Jude hajamtumia ujumbe wowote mdogo wake Peter P-Square kama pongezi kwa kumuoa Lola Omotayo.
 
Uadui huu umedhihirika waziwazi pia kwa Jude ambaye ni meneja wa Peter na Paul Okoye kutosafiri na wadogo zake hao mapacha kwa show yao ya juzi Jumamosi nchini Tanzania, Leaders Club, Kinondoni! Hii si kawaida kwa Jude kutosafiri kwa Jude pamoja na akina Peter na Paul hasa kwa shows za nje ya Nigeria

Mpaka sasa hakijajulikana chanzo hasa cha matatizo yao. Inawezekana ikawa Peter kumuoa Lola ndio ishu? #WeAreWatching.

Jude na Peter Okoye



No comments:

Post a Comment