Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Tuesday 21 January 2014

MWIGIZAJI THE ROCK AMZAWADIA BEKI 3 WAKE GARI LA THAMANI!

Ni mara ngapi unashukuru na kuthamini kile mtu anachokufanyia hata kama ni kidogo? Mwanamieleka wa zamani wa WWE na mwigizaji sinema za Fast and Furious, Dwayne Johnson a.k.a The Rock amemzawadia beki 3 wake gari aina ya Ford Edge, ambalo thamani yake ni zaidi ya dola za Kimarekani elfu 40. 

The Rock aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter, "Miaka 10 amekuwa akisaidia kazi za nyumbani kama mama yetu vile. Nimeamua kumpa surprise Esperanza na mkoko mpya #WeloveU" 

The Rock na beki 3 wake Espiranza

No comments:

Post a Comment