Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Thursday, 25 April 2013
NDANI YA MJENGO WA PETER P-SQUARE!
Muda mfupi uliopita Peter Okoye ametupia
picha zifuatazo kwenye page yake ya Instagram na kuandika, "home sweet home".
T-PAIN ANYOA DREADS!
Msanii wa Hip-hop na RnB pande za USA, T-Pain, ameamua kunyoa dreads zake. T-Pain pia aliandia hivi kupitia instagram, "We must all learn to adjust with our surroundings. Those who get stuck doing
the same things for too long are bound to get left behind the strong who press
on and reinvent themselves. Also. Good news. Hair grows back,"
T-Pain pia alichukua nafasi kutangaza ujio wake mpya wa albam, 'Stoicville' bila kutaja lini itakuwa tayari but just tay tuned!
![]() |
| T-Pain wa zamani |
![]() |
| T-Pain mpya |
Wednesday, 24 April 2013
Tuesday, 23 April 2013
MKESHA WA UBINGWA WA 20 MACHESTER UNITED!
Baada ya kuchukua ubingwa kwa mara ya 20, mkesha wa shamrashamra hizo ulifanyika Cafe Rouge. Wayne Rooney, Robin van Persie na Rio Ferdinand waliongoza sherehe hizo zilizoishia leo asubuhi ya saa 12!
Bata lilianzia chumba cha kubadilioshia nguo!
Usiku wake sasa.....
Bata lilianzia chumba cha kubadilioshia nguo!
Usiku wake sasa.....
Asubuhi ya leo wakijirudisha taratibu....
JAY Z & KANYE WEST: HATUNA TATIZO!
Baada ya Kanye West kumchana Jay Z live on stage katika concert yake huko Uingereza back in February, juzi walikutana mitaa ya New York City na ku-hug kama vile hakuna kitu kilichotokea. Hii inaonyesha ni ,kisasi gani Jay Z anajiheshimu na haendekezi vi-bifu vya kijinga.
West alipokuwa on-stage miezi miwili iliyopita alisema, "I got love for Hov, but I ain't f***ing with that 'Suit & Tie." Akimaanisha anamuhudu Hov (yaani Jay Z) lakini sio shabiki wala haikubali 'Suit & Tie'. 'Suit & Tie' ni ngoma ya Justine Timberlake featuring Jay Z.
West alipokuwa on-stage miezi miwili iliyopita alisema, "I got love for Hov, but I ain't f***ing with that 'Suit & Tie." Akimaanisha anamuhudu Hov (yaani Jay Z) lakini sio shabiki wala haikubali 'Suit & Tie'. 'Suit & Tie' ni ngoma ya Justine Timberlake featuring Jay Z.
Subscribe to:
Posts (Atom)
















