Kumeibuka ghasia na kutupiana kwa maneno katika mitandao ya jamii baina ya Wanigeria na Waghana kuhusiana na styles hizi mbili za Alingo na Azonto. Na sokomoko hili limekuja hasa baada ya artiste wa dancehall toka Ghana, Samini kutoa ngoma kwa kutumia biti ya Alingo kuwadis P-Squae kwa kukopi dance ya Azonto na kuitumia katika Alingo!
Wewe unafikiri style ipi ya ku-dance ni kali kati ya ile ya Azonto na Alingo? Na je, ni kweli styles hizi zinafanana?
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Saturday, 16 March 2013
LIL WAYNE BADO YUPO HOI HOSPITALI!
Young Money Cash Money brother, Lil Wayne alikimbizwa hospitali hivi majuzi baada ya kuzidiwa. Hali yake ilikuwa mbaya sana kiasi cha kukutwa akiwa sakafuni chumbani kwake hajitambui. Mpaka sasa hali ya Wayne si nzuri sana licha ya ku-tweet kuwa yupo poa!
Pamoja na hayo yote jana Ijumaa Lil wayne aliibuka na ku-tweet kuwa yupo fresh na kuwashukuru fans wake kwa sala zao na upendo kwake!
Thursday, 14 March 2013
CHRIS BROWN DOING FINE IN CHINA!
Still he makes the heads of lines. 'Turn Up the Music' star Chris Brown is back in business! Jana Jumatano alikuwa zake location, huko Los
Angeles California aki-shoot video ya single yake mpya, ‘Fine China’.
Mcheck Brown na co-star wake katika
video hiyo wakifanya yao while getting ready for the audio and video single!
Are you there Rihanna?
Wednesday, 13 March 2013
MICHAEL JACKSON ALIPOIMBA KISWAHILI!
Ni ngoma ya 'Liberian Girl'. Ndani ya ngoma hii iliyorekodiwa na kutolewa mwaka 1987 toka katika albam ya 'Bad' ndio ina maneno yasemayo, 'Nakutaka pia, Nakupenda pia, Mpenzi wangu'! Sio kwamba Michael Jackson alisema moja kwa moja maneno haya kwa Kiswahili bali yeye alitafsiri maneno hayo kutoka kwa SouthAfrican singer, Letta Mbulu. Alichofanya MJ ni kutafsiri kutoka Kiswahili moja kwa moja kwenda Kiingereza.
Wataalamu wa mambo wanasema kuwa hii ni heshima kubwa kwa jamii ya Afika Mashariki na Kati pia.
KIM KARDASHIAN AKANYAGWA MGUU
Katika hali isiyotarajiwa mlinzi anayemlinda Kim Kardashian amemkanyaga kwa mbaya Kanye West's girlfriend. Hii ilitokea nje ya ofisi ya mama yake Kim, Kris Jenner alipokuwa katika harakati za upigaji picha wa 'Keeping Up With The Kardashians', California, Jumanne jana.
Subscribe to:
Posts (Atom)












