Baada ya Goldie kumtembelea Prezoo then kwenda Uganda kumchek mshiriki wa BBA ya mwaka huu toka nchini humo kwa jina la Kyle latest infoz ni kwamba mnigeria huyu soon ataikanyaga ardhi ya Tezee akiwa na Prezzo kwa ajili ya kufanya kazi za kimuziki na baadhi ya wasanii wa hapa nyumbani...
Weekend iliyopita Channel O walihamishia base yao pande za Kenya kwenye show iliyopewa jina la “News meet and greet” lililozindua mchakato mzima wa kuanza ku-report habari toka nchini humo ambapo liliwajumuisha celebs kibao toka barani Africa kwenye ukumbi wa KICC.
Baadhi yao ni pamoja na Khuli Chana,
WizKid, Wyre, Niyola, Banky W, Skales, Shaydee and Camp Mulla bila kusahau Prezzo na Goldie ambaye za chini zinadai aliingia nchini humo kimya kimya ili kukwepa mapaparazi.
MMG prezident - Prezzo akiwa na Goldie
Banky W(wa pili kushoto) with Wizkid (wapili kulia) na VJs wa Channel O