Fasta baada ya kujitangazia Ufalme wa jiji la New York, The hot Hip Hop star Kendrick Lamar amepata majibu. Majibu yanatoka kwa legends ya game ya Hip Hop duniani, Jay Z na Sean Comb 'Diddy' kwa kusema kuwa dogo huyu ana utani sana! Kwa upande mwingine Jay na Diddy wameichukulia kauli hii kama kutafuta kiki tu ya kimuziki!
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Thursday, 15 August 2013
Friday, 9 August 2013
MAJERUHI WA TINDIKALI ZANZIBAR HAWA HAPA
RAISI AWAFARIJI MAJERUHI AGA KHAN HOSPITAL
Kabla ya Tukio
Baada ya kumwagiwa Kitu kinacho zaniwa ni maji maji ya tindi kali
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dr J.M.Kikwete
akitoka Hospita AGA KHAN kuwajulia hali
Kabla ya Tukio
Baada ya kumwagiwa Kitu kinacho zaniwa ni maji maji ya tindi kali
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dr J.M.Kikwete
akitoka Hospita AGA KHAN kuwajulia hali
Friday, 26 July 2013
BUSTA RHYMES KUPAFOM KENYA
Sasa rasmi kuwa busta Rhymes a.k.a Trevor Taheim Smith Jr atatua Kenya kwa ajili ya kazi moja tu, nayo ni kuwarusha maraia wote wa 254. Hiyo itakuwa mwezi September, 2013. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Busta kuja Kenya na anatarajiwa kupagawawisha crowd litakalotokea kwa ngoma zake zilizotamba kama 'Twerk It' na Nicki Minaj, 'I Got What You Want' na Mariah Carrey, 'Look at Me Now' akiwa na Chris Brown, 'Touch It with the whole world' na ngoma nyingine lukuki!
Thursday, 25 July 2013
GENEVIVIE ANA MIAKA 10 HAJA-DO!
Hii imechukuliwa kama gia ama kick ya kumlegeza bwana wake ili
aharakishe ndoa yao kwa mwanamama mahiri katika tasnia ya uguzaji, Genevivie
Nnaji kusema kuutangazia umma kuwa, ana miaka kumi toka alipofanya ngono kwa
mara mwisho.
Hivi ndivyo Nnaji anavyofunguka,
"Nimekuwa single na mpweke kwa muda mrefu. Hata
nilipokuwa na D'banj, mahusiano yetu yalikuwa ya muda mfupi sana kinyume na matarajio yangu. Namshukuru Mungu sasahivi nimempata mwanaume
ambaye nitamaliza naye maisha yangu yote"
Wednesday, 24 July 2013
NYAKATI MBILI MBAYA ZA BEYONCE!
Hii ilikuwa ni tour yake iitwayo 'B-Day tour' akiperform 'Ring the Alarm'. Hapa alidondoka mzima mzima wakati akipanda ngazi za steji.
Subscribe to:
Posts (Atom)







