Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Saturday, 23 February 2013
OSCAR PISTORIUS APATA DHAMANA
Oscar
Pistorius yupo huru! Mkimbiaji mbio kwa miguu ya bandia ameachiwa na yupo nje
kwa dhamana kufuatia kesi inayomkabili ya kutuhumiwa kumuuwa mpenzi wake, Reeva
Steenkamp siku ya Valentine, February, 14. Dhamana inakaribia
randi ya Afrika Kusini 1,000,000 ambayo ni dola 113,000 za Kimarekani.
Pistorius
aliyekuwa rumande kwa siku 8 amepewa masharti kadhaa ya dhamana yakiwemo
kusalimisha pass yake ya kusafiria na silaha zote anazomiliki. Pistorius pia
haruhusiwi kutoka nje ya mji wa Pistorius na la mwisho haruhusiwi kutumia
kinywaji chochote chenye kilevi!
Kesi
ya Pistorius imeahirishwa mpaka June 4.
![]() |
| Oscar Pistorius |
Friday, 22 February 2013
WIZ KHALIFA + AMBER ROSE = SEBASTIAN 'THE BASH' TAYLOR THOMAZ
Hatimaye penzi limejibu. Habari njema kwa whole world of entertainment kwamba rapper Wiz Khalifa na supa model Amber Rose wamepata
mtoto wa kiume na kupewa jina la Sebastian 'The Bash' Taylor Thomaz na Wiz
Khalifa. Asubuhi ya Ijumaa Amber, 29, ali-break the news yote kuwa the new baby
born is in town!
Cameron Jibril Thomaz a.k.a Wiz, 25, alionekana akiwa so emotional huku akiwa
amembeba mwanae mikononi. Later Wiz alitweet kitu cha kushangaza. Eti baada ya
Amber kujifungua kitu cha kwanza kuhitaji ni 'whiskey na sigara'!
Kwa nyakati tofauti wazazi wote, Wiz na Amber
walijipongeza kwa kumpata mtoto, pia Rihanna alitweet pongezi za kutosha kwa Amber
kwa kumleta duniani Sebastian ‘The Bash’
Thursday, 21 February 2013
KIM KARDASHIAN SI LOLOTE
Ni maneno ya mwigizaji filamu Ghana, Juliet
Ibrahim. Juliet amechukizwa na mkwanja wa dola 500,000 aliovuta Kim Kardashian kwa kutokea
on stage tu, tena chini ya dakika moja katika concert ya ‘Love Like A Movie’. Kupitia istagram yake, Julie aliandika,
“Sijajua kwanini alilipwa kiasi kile cha pesa plus gharama
ya kumsafirisha. Huku akiperform for oonly sekunde 45 tu! Ni wakati sasa wa ku-appreciate
vipaji vyetu vya Africa. Uzuri wangu ni wa asili na sio wakufanya upasuaji”
Pamoja na hayo aliyoyasema Julie lakini bado kuna sababu kuu
za Kim K kudondoshwa Nigeria. Moja ikielezwa kuwa ni sababu ya kibiashara
zaidi. KK akifahamika zaidi duniani kwa kuwa na wafuasi milioni 15 katika
twitter na ‘likes’ milioni 12 katika
facebook. Endorsements kadhaa plus super producer boyfriend. Je kama Julie
angehost show ile angeweza kuvutia watu locally na internationally? Obviously ‘no’!
HAPPY BELATED BIRTHDAY RIHANNA!
Pengine hii ndio moment ambayo
Rihanna a.k.a Riri alikuwa anaisubiri kwa hamu sana. Nayo ni kuspend time na
her very very beloved boyfriend Chris Brown. At last she got him. Kwa pamoja
wakakwea pipa mpaka visiwa vya Hawaii na kuspend siku nzima ya jana wakitanua
na kula bata, ‘pengine hata kuvuta bangi’. Ni siku ya kuzaliwa kwa Rihanna,
miaka 25 sasa!
Inasemekana kuwa eti jana Brown
alikuwa adondoke goti na kumuuliza Riri,
“Will you marry me?”
So far nothing of that kind
has been reported!
Subscribe to:
Posts (Atom)













