Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Saturday, 9 February 2013

TIGER WOODS AMTUMIA DEMU WAKE NDEGE


Mcheza golf maarufu duniani Tiger Woods, 38, amemtumia ndege yake binafsi demu wake Lindsey Vonn aliyeko Austria ili arudi USA kwa matibabu. Vonn alipata majeraha mara mbili katika goti lake katika mashindano ya kuteleza katika barafu, Alpine Ski World Championships. 

Lindsey Vonn
Lindsey Vonn na Woods walianza uhusiano wao baada ya Woods kuachana na mkewe Elin Nordegre mwaka 2010 na Vonn kuzinguana na boyfriend wake wa muda mrefu, Thomas Vonn.
Lindsey Vonn
Tiger aliachana na mkewe Elin baada ya kukaa pamoja ndoani kwa miaka mitano na kupata watoto wawili, Samantha, 5, na Charlie, 3. Tiger ameonekana kujifunza kutokana na ,makosa yake na ameamua kuangusha moyo wake kwa Lindsey Vonn.

Tiger Woods na Elin Nordegre enzi za penzi lao

FUTENI PICHA ZANGU - KANYE WEST

Kim Kardashian’s boyfriend, Kanye West ameitaka kampuni ya Getty Images kufuta picha zake alizokuwa amevaa sketi wakati aki-perform jukwaani katika show ya Hurricane Sandy benefit concert, 2012. Sketi hiyo ilibuniwa na designer wake Mr West na Riccardo Tisci. 



Kanye amefikia maamuzi hayo baada ya kupata comments mbaya toka kwa artistes kama Chris Brown na rapa Lord Jamar. Jamar aliandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa West alileta uvaaji wa skinny jeans katika rap na sasa anavaa sketi katika video……”
'He introduced the skinny jeans to the rap scene/Then he wore a f*****g skirt on the video screen/Then he wore it again at a memorial/I can't pretend this s**t ain't deplorable.'

Kanye alivaa tena sketi hiyo katika tour ya 'Watch The Throne' akiwa pamoja na Jay Z.

 Check video ya Kanye na sketi yake on stage:


Friday, 8 February 2013

JAY Z SURA MBAYA!


The American actress, singer, and fashion designer, Amanda Bynes, 26, leo hii ameandika katika ukurasa wake wa twitter na pia ku-attach hata picha kuwa Honorable Mr Carter a.k.a Jay Z ana sura mbaya. Lakini haukupita muda, aliiondoa picha hiyo bila kuomba radhi!
Ukurasa wa Amanda Bynes



Amana Bynes
Jay Z hakuonekana kujali pengine kwa kutofahamu lolote kuhusiano na kile alichoandika Amanda na badala yake alikuwa zake Venice pamoja na mke wake Beyonce na binti yao Blue Ivy!
Mr Ugly face?

CHECK KICHUPA KIPYA CHA STEVE R N' B FT. OMMY DIMPOZ



Thursday, 7 February 2013

LIL KIM ARUDI UTOTONI


The Lady Marmalade star, Lil Kim alionekana tofauti sana alipotokelezea kwa mara kwanza Hollywood wiki iliyopita. Pia Kim alionekana wa tofauti kabisa alipotokea ku-party huko West Hollywood. Umri wa miaka 38 lakini bado alitoka na sura ya kitoto iliyomfanya kila mtu amshangae!
Lil Kim na Mariah Carey, 1997
Mwonekano wake huo umefanya watu waanze kuhisi kuwa Lil Kim amefanya plastic suggery ili kurudisha mwonekano wake. Lil Kim ali-make headline hivi majuzi kwa kupiga collabo katika video mpya ya Miley Cyrus


Kim na Miley Cyrus