Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Saturday 9 February 2013

FUTENI PICHA ZANGU - KANYE WEST

Kim Kardashian’s boyfriend, Kanye West ameitaka kampuni ya Getty Images kufuta picha zake alizokuwa amevaa sketi wakati aki-perform jukwaani katika show ya Hurricane Sandy benefit concert, 2012. Sketi hiyo ilibuniwa na designer wake Mr West na Riccardo Tisci. 



Kanye amefikia maamuzi hayo baada ya kupata comments mbaya toka kwa artistes kama Chris Brown na rapa Lord Jamar. Jamar aliandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa West alileta uvaaji wa skinny jeans katika rap na sasa anavaa sketi katika video……”
'He introduced the skinny jeans to the rap scene/Then he wore a f*****g skirt on the video screen/Then he wore it again at a memorial/I can't pretend this s**t ain't deplorable.'

Kanye alivaa tena sketi hiyo katika tour ya 'Watch The Throne' akiwa pamoja na Jay Z.

 Check video ya Kanye na sketi yake on stage:


No comments:

Post a Comment