Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Friday, 8 February 2013
Thursday, 7 February 2013
LIL KIM ARUDI UTOTONI
The Lady Marmalade star, Lil Kim
alionekana tofauti sana alipotokelezea kwa mara kwanza Hollywood wiki
iliyopita. Pia Kim alionekana wa tofauti kabisa alipotokea ku-party huko West
Hollywood. Umri wa miaka 38 lakini bado alitoka na sura ya kitoto iliyomfanya kila mtu
amshangae!
![]() |
| Lil Kim na Mariah Carey, 1997 |
Mwonekano wake huo umefanya watu
waanze kuhisi kuwa Lil Kim amefanya plastic suggery ili kurudisha mwonekano
wake. Lil Kim ali-make headline hivi majuzi kwa kupiga collabo katika video mpya
ya Miley Cyrus
![]() |
| Kim na Miley Cyrus |
RIHANNA KAFA KAOZA KWA CHRIS BROWN!
Hicho ndicho unachoweza kusema kama tafsiri ya yale anayoyafanya ‘The Umbrella singer’ Rihanna kwa Chris Brown. Kwani licha ya kuchezea kipigo mwaka 2009 pamoja na mavurugu mengine kibao ya mapenzi lakini mtoto Rihanna hakomi hachoki hahemi kwa The Bad boy Brizzy!
![]() |
| Brown akiingia kortini akisindikizwa na Rihanna |
![]() | |
| Mama yake Brown, Joyce Hawkins, Brown na Rihannawakiingia kortini |
![]() |
| Chris Brown na wakili wake |
![]() |
| Chris Brown akihudumia jamii kwa kufanya usafi wa mazingira |
Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 5 April. Brown 23 na Rihanna, 24 waliondoka mahakamani pamoja wakiwa wameshikana mikono.
Cheki video ya mahakamani:
Cheki video ya mahakamani:
Wednesday, 6 February 2013
MADONNA AMFUNIKA BEYONCE
Bado huko duniani wanajaribu kuangalia nini kilitokea na
kilinganisha show ya Beyonce na ya wasanii wengine waliopita, hasa Madonna
ambaye ndio mtu wa mwisho kufanya show ya Super Bowl, Feb 05, 2012 kabla ya hii
ya Beyonce, Feb 03, 2013.
![]() |
| Madonna |
![]() |
| Beyonce |
Pamoja na Beyonce,31, kujiandaa kwa miezi mitano pia
kupewa sapoti na her former Destiny’s Child members, Kelly Rowland na Michelle
Williams, rekodi zilizotoka jana zinaonyesha Beyonce aliangaliwa na watazamaji
milioni 104 wakati Madonna alitazamwa na watu milioni 112.5
Madonna alipewa shavu na artistes kama na CeeLo Green, Nicki Minaj and LMFAO.
Madonna alipewa shavu na artistes kama na CeeLo Green, Nicki Minaj and LMFAO.
MUTHONI THE DRAMMER QUEEN KUPAFOMU FAINALI YA AFRIKA, 2013
Msanii wa Kenya, Muthoni Ndonga a.k.a Muthoni The Drammer
Queen ata-grace stage ya fainali ya mataifa ya Afika 2013 alongside well known
celebrities! Fainali ya mataifa ya Afrika itafanyika Nelson
Mandela Bay Stadium, huko Port Elizabeth mnamo tarehe 10, February.
![]() |
| Muthoni The Drammer Queen |
Tunampongeza MDQ ambaye ni mjasiriamali pia rapper na mwandishi wa
mashairi for this beautiful achievement!
![]() |
![]() |
| MDQ |
Subscribe to:
Posts (Atom)
















