Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Saturday, 2 February 2013
REAL LIL WAYNE!
DIGITAL LIL WAYNE!
Weezy anajulikana duniani kote kwa mwonekano wake wa
dreadlocks ndefu, hiyo ilikuwa ‘analogia’. Lakini sasa Wayne ana mwonekano mpya
na hii ni baada ya kunyoa rasta zake, hii ndio digitali! Wayne na Big Boi the
MaddenBowl XIX walikuwa wakipiga show ya kitaani, New Orleans katika hoteli ya Bud
Light Hotel na baada ya show Big Boi alianika picha hizo inayomwonyesha Lil
Wayne mpya!
Thursday, 31 January 2013
NDOA YA BRAD NA ANGELINA, MAY HII!
Brad Pitt na Angelina Jolie wamewataarifa watu wao wa
karibu kuwa wiki ya mwisho ya mwezi May waiache free kabisa. Hii inatafsiriwa
kuwa Brad na Jolie wako on thier preparation to tie knots.
Ishara za ndoa hiyo:
Brad,
49, na Jolie, 37, wako katika marekebisho ya mjengo wao wenye thamani ya dola
milioni 83, ‘Chateau Miraval mansion’, Kusini mwa Ufaransa
ikiaminnka kuwa ndoa yao itafanyika nyumbani kwao!
Msaidizi wa Angelina ameshatumwa kununua pete from the
top Los Angeles jewellers Neil Lane.
Hii itakuwa ndoa ya pili kwa Brad Pitt baada ya ile ya
kwanza na Jennifer Aniston, Brad na Angelina wana watoto 6:- Maddox, 11, Pax, 8,
Zahara, 7, Shiloh, 6, na mapacha Knox and Vivienne, 4.
RAGGA DEE ANUNUA GARI LA AJABU!
Ni Lincoln Navigator, gari
iliyotengenezwa mwaka 2011 inayomilikiwa na Daniel Kazibwe aka Ragga Dee, a
local artiste and businessman in Kampala. Gharama yake ni dola milioni 85,000/=
![]() |
| Ragga Dee on his Lincoln Navigator |
Sababu za kununua gari hii:
“Napenda vitu vizuri, siendeshi
gari eti kwa sababu msanii au mtu fulani anaendesha. Nalipenda gari hili
kwasababu lina nafasi ya kutosha, viti 7. Pia linakwambia tatizo lolote katika
computer. Gari hili linakupa taarifa kiasi gani cha mafuta umetumia na
yaliobaki, pia mwelekeo – unapokwenda na ulipo pia!
Tofauti na magari mengine ambayo
inabidi uweke tracking system, lakini gari langu limetengenezwa moja kwa moja
na satellite
tracking system, making it impossible to steal!
Ni
gari pekee lenye AC katika viti. Kiti pia kitaendana na kimo chako pindi
utakapokikalia. Gari hili haliruhusu sauti ya ndani kusikika nje na nje kusikia
ndani. Mfumo wake wa radio unaweza fananisha na public address system.
Usalama
kwanza:
Ina mifuko
28 ya hewa (airbags) na head rests. Katika dashboard, kuna chombo kinachosensi
kilevi! Pia kuna traction control, ukitoka nje ya barabara, traction control
itakupa taarifa. Ina autolights and wipers. Giza likiingia tu taa zenyewe
zinajiwasha, halikadhalika na wipers pindi mvua inaponyesha!
Lina
options mbili, eitha 4WD au 2WD. Kama hautaki kuendesha kwa vikanyagio (pedals),
unaweza endesha kwa switch. Hii husaidia hata kwa walemavu kuendesha bila shida.
Speed ni 260 miles kwa saa (388km kwa saa).
Speed ni 260 miles kwa saa (388km kwa saa).
Gari hili huwezi kulipimp, and if you try to, computer itakataa saying it is
not in the right state to use", Ragga Dee./
Subscribe to:
Posts (Atom)











