Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Friday, 21 September 2012
EXCLUSIVE: MIKEL OBI ALAZIMIKA KU-DELETE TWITTER PAGE YAKE
Midfielder wa Chelsea toka nchini Nigeria, Mikel Obi jana alilazimika kui-delete twitter page yake baada ya kupokea barrage of racist abuse toka kwa fans wa timu hiyo waliokuwa wakimlalamikia yeye kutokana na draw ambayo Chelsea waliipata dhidi ya Juventus, juzi jumatano usiku at Stamford Bridge.
Ikikumbukwa vizuri kwenye mchezo wao wa juzi wa ligi ya mabingwa Ulaya aka UEFA Champions, dakika ya 80 Mikel alimisplace pass ambayo ilinaswa na Fabio Quagliarella alietumia vizuri kosa hilo na kutupia mpira wavuni na hivyo kufanya matokea ya game hiyo kuwa 2 – 2 draw.
Akizungumza kwenye interview baada ya mchezo Mikel aliyasema haya, “If I want to make up an excuse, I can. But, for me, I gave the ball away. I put my hands up, we move on,” Mikel said.
“I’m sorry about the mistake, but there are no excuses.”
Hii ndiyo kauli ya Chelsea Official kufuatia kitendo cha Obi ku-delete page yake:
Thursday, 20 September 2012
EXCLUSIVE: CHECH OUT SNOOP LION AKIVUTA KUSH NA MWANAE WA MIAKA KUMI NA NANE
GOLDIE KUTUA BONGO SIKU SI NYINGI
![]() |
| Goldie akiwa na Kyle nchini Uganda |
Baada ya Goldie kumtembelea Prezoo then kwenda Uganda kumchek mshiriki wa BBA ya mwaka huu toka nchini humo kwa jina la Kyle latest infoz ni kwamba mnigeria huyu soon ataikanyaga ardhi ya Tezee akiwa na Prezzo kwa ajili ya kufanya kazi za kimuziki na baadhi ya wasanii wa hapa nyumbani...
Wednesday, 19 September 2012
CHECK OUT PREZZO ALIVYOJIACHIA NA GOLDIE HUKO KENYA WAKATI O NEWS TEAM YA CHANNEL O ILIVYOKUWA HUKO
![]() |
| Banky W(wa pili kushoto) with Wizkid (wapili kulia) na VJs wa Channel O |
![]() |
| Banky W |
![]() |
| Wyre |
![]() |
| Khuli Chana |
![]() |
| Jokate aka Miss Kidoti na Banky W |
![]() |
| DJ Mfalme |
Check out video ya event hiyo ilivyokuwa
Subscribe to:
Posts (Atom)






















