Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Tuesday, 4 September 2012

HII SASA ISHAKUWA MTUMBA! - WIMBO WA MWANZA ALL STARS WAIMBWA NA UNDERGROUNDS



Kwa hali ya kushangaza jana wimbo wa Mwanza All Stars uitwao "Mwanza" uliotoka jana, tofauti na ilivyotegemewa wimbo huu umeimbwa na chipikizi tofauti na ilivyotegemewa labda ungekusanya vichwa kama Fid Q, PNC, Dudu Baya, Kabago,H baba na wengine wengi ambao ni maarufu kama ilivyokuwa kwa wenzao wa Kigoma Allstars walioimba "Leka Dutigike".

Wimbo huu umeimbwa na wasanii kutoka  wachanga kwenye game toka Mwanza ambao ni Sagna,Baraka,G,riko,Athuman,Saxena,Kijo na Seco Bwai.
Track imetengenezwa studio za Mbunda Records zilizopo jijini mwanza .
 
Track yenyewe hii hapa...
 

New Video:Johnson feat Jackson and Ally Kiba-Yale Yale

MOVIE YA IN BETWEEN YA MONALISA NA MAMA YAKE SOKONI SOON

Natasha, Mboto, Alloy Sazia na Natasha wakiwa location waki-shoot muvi yao ya "In Between"
Movie hii inatarajiwa kutoka wiki ijayo ....

VIDEO MPYA SUMA LEE - APATE RAHA