Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Tuesday 4 September 2012

HII SASA ISHAKUWA MTUMBA! - WIMBO WA MWANZA ALL STARS WAIMBWA NA UNDERGROUNDS



Kwa hali ya kushangaza jana wimbo wa Mwanza All Stars uitwao "Mwanza" uliotoka jana, tofauti na ilivyotegemewa wimbo huu umeimbwa na chipikizi tofauti na ilivyotegemewa labda ungekusanya vichwa kama Fid Q, PNC, Dudu Baya, Kabago,H baba na wengine wengi ambao ni maarufu kama ilivyokuwa kwa wenzao wa Kigoma Allstars walioimba "Leka Dutigike".

Wimbo huu umeimbwa na wasanii kutoka  wachanga kwenye game toka Mwanza ambao ni Sagna,Baraka,G,riko,Athuman,Saxena,Kijo na Seco Bwai.
Track imetengenezwa studio za Mbunda Records zilizopo jijini mwanza .
 
Track yenyewe hii hapa...
 

No comments:

Post a Comment