Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Tuesday 4 September 2012

DIRTY GAME YA MR CHUZI NDIO GHALI ZAIDI

F
Dirty Game filamu mpya iliyoandaliwa na kampuni ya Tuesday Entertainment Ltd ya jijini Dar es salaam inaweza ikawa ndiyo filamu ambayo imeaandaliwa kwa gharama zaidi kulinganisha na filamu zinazoendelea kutengenezwa na watayarishaji wa filamu hapa nchini.
 "Unajua gharama zilikuwa kubwa kutokana na location tulizotumia mwanzo wa filamu hadi mwisho, filamu ya Dirty Game imerekodiwa katika Boti na ndege kwa hiyo katika ndege tulitumia camera zaidi 10 kwa ajili ya kunasa kila tukio ili kila kitu kionekane bila kurudia tukio hilo kwani kuwa hewani ni gharama,” Mr. Chuzi.
 ya Dirty Game imerekodiwa katika bahari na angani kutoka Dar es salaam kuelekea Zanzibar. Filamu hiyo imeshirikisha wasanii wengine kama Tuesday Kihangala ‘Mr. chuzi’, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, Michael Philipo ‘Kojack’, Bad boy, Mzee Bomba na wasanii kutoka kampuni ya Tuesday...

No comments:

Post a Comment