Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Wednesday, 22 August 2012
DIAMOND AFANYA NGOMA NA J MARTIN
Msanii
wa Bongo Fleva Diamond amefanya wimbo Mj Records ambao atamshirikisha J
Martins kutoka Nigeria .Wimbo huo kwa sasa unafanyiwa Final Mixing na
Marco Chali na verse ya kwanza na Chorus ameshafanya Diamond na Dancer
wake Mose Iyobo kwenye chorus .Mose Iyobo ni Dancer wa Diamond anaetaka
kuanza kuimba na tayari ameshaonyesha uwezo wake kwenye nyimbo hio
katika chorus . Utengenezwaje wa wimbo hu hauta chukua muda mrefu sana
kwani tayari J Martins anasubiri wimbo huo na yeye aingize sauti yake
.Skiliza Power Jams kwa updates kuhusu wimbo huo.
Pia
Jumatano hii Diamond anaenda Marekani kufanya show Washington DC na hii
itakuwa mara ya kwanza Diamond kwenda kufanya show Marekani. Kwenye
safari hii ata safiri na Dancer wake wote wa nne , na mzungumzaji wake
.Diamond atafanya show kwenye mkutano mkubwa unaofanyika Marekani na
Ombi la watu watakao kuwa kwenye mkutano huo ni kuwa Diamond ndio msaani
waliomtaka afanye burudani.
ALICHOKIANDIKA ZOLA D LEO KWENYE FACEBOOK WALL YAKE BAADA YA PAMBANO LA JUZI HIKI HAPA
Mambo vipi ndugu zangu me nipo poa wala sijaumia nipo mzuka kama kawa, kutokana na game ya juzi mimi na Mchumia Tumbo.
Kikubwa kilichonikwamisha ni ring ilikuwa imejaa sana maji na matope,tokea game za utangulizi watu walikuwa wanaanguka tu hovyo kwa wale wanaojua boxing na sheria waliona kitu kilichotokea ni sawa sawa kama tulikuwa tunapigana kwenye swiming pool na mimi nimechelewa kufika pale Mchumia Tumbo alikuwa amewai kufika mapema na ameshausoma uwanja kama unateleza mimi nilipofika kwenye ring nikamwambia refa kama ring inateleza akaniambia pigana hivyo ivyo kosa langu kubwa nilipomfuata kwenda kumshambulia Mchumia Tumbo niliteleza na kukutana nae then nikaenda chini, ndio maana yeye alikuwa amesimama sehemu moja tu na mimi ndio nilikuwa namfuata kumshambulia wakati naenda kumshambulia ndio nilikuwa nateleza na kukutana na ngumi yake ni bora kama angenipiga seem yenye mandalizi mazuri ningekubali si ni sport coz asiekubali kushindwa sio ...mshindani ila sio pale kwenye matope game imeandaliwa kienyeji tu ubingwa wa tz unafanyika kwenye matope sijawai kuona ndio maana ngumi za tz aziwezi kufika popote,nilikwenda kupigana sio sababu ya kupata pesa no nilipigana kama mimi ni mwanamichezo,ila asante sana kwa wale fans wangu wote walionisurport tokea mwanzo, boxing ni mchezo wa upendo na nidhamu sana mimi ni mpiganaji na hii sio game yangu ya kwanza kupigana nitaendelea kupigana mwanzo mwisho wala sikatishwi tamaa speed yangu ni ile ile tu,na game yangu dhidi ya mchumia tumbo itarudiwa sponser naomba wajitokeze tupigane sehemu poa na tuonyeshe sport tena niwape raha fans wangu kama game zangu za mwanzo sio game ndani ya swiming pool tupo pamoja sana ndugu zangu kushindwa sport sio kushindwa maisha ni ujanja wa akili tu tupo pamoja sana wanajeshi wangu, am out
Tuesday, 21 August 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)



