Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday 7 March 2013

CHRIS BROWN AMTIMUA KAZI BAUNSA WAKE WAKIWA AIRPORT!

Baada ya kugonga show kali huko Ghana juzi tarehe 5 Accra Sports Stadium, 'Don't Wake Me Up' singer Chris Brown na crew yake wakala flight mpaka Bermuda huko Caribbean Island Jumatano (06.03.13). Wakiwa bado hawajatua ndipo kukatokea mtiti kati ya Brown na baunsa wake wa muda mrefu Big Pat! Inasemekana walichapana makonde. 


Walipotua Bermuda ndipo Brown akamwambia Big asikwee tena ndege yake aliyoikodi. Na huo ndio ukawa mwisho wa uhusiano wa kikazi kati yao na ilibidi Big Pat achukue ndege nyingine mpaka New York City's JFK Airport.



No comments:

Post a Comment