Wakati hayo yakitokea kwa Brown, Rihanna ,25,
alionekana Jumapili (siku inayofuata) akicheki basketball match kati ya Los Angeles
Clippers dhidi ya Los Angeles Lakers na mchizi mwingine kabisa!
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Monday, 8 April 2013
A GAME TWO CAN PLAY! BROWN Vs RIHANNA.
Juzi Chris Brown alionekana
anamhofia babyboo wake Rihanna kwamba anaweza kumsaliti wakati akiwa katika
tour yake. Lakini inaonekana kama Rihanna ndio wakumhofia Chris Brown wakati alipoonekana aki-party club
na dada duu mmoja usiku wa Jumamosi! Brown alionekana akishikana mikono na mtoto huyo huku
akimpa chupa moja ya champagne huko Los Angeles nightclub.
Nani hapa anamdanganya
mwenzake? Is it Brown or Riri?
Saturday, 6 April 2013
VIMINI MARUFUKU UGANDA!
Serikali ya
Uganda iko mbioni kupeleka muswaada bungeni ili kupitisha sheria itakayo kataza
wakina dada na kina mama kuvaa nguo fupi, kama vimini. Waziri wa Utamaduni wa
nchi hiyo jirani, Bw. Simon Likodo ametoa tamko hilo akisema kuwa mwanamke
yeyote atayevaa nguo itakayoonyesha maeneo yake nyeti atakuwa amevunja sheria
na ataadhibiwa.
Waziri huyu ambaye ni Padre wa zamami wa Kanisani aligusia pia suala la picha chafu za ngono na kusema, "Serikali itaweka system itakayotambua raia yupi kaingia kwenye mtandao upi na hivyo kumtambua ni nani kaangalia picha chafu, 'pornographic pictures'.
Hii inamaanisha kuwa hata wasanii kama Beyonce na Madonna watapigwa marufuku kuja Uganda. Pia luninga za Uganda hazitaruhusiwa kuonyesha picha chafu zenye kuonysha maungo ya mwanamke.
Adhabu kwa mwanamke atapatikana na hatia ya kuvaa nguo fupi atapigwa faini ya Shilingi za Kiganda milioni 10 sawa na pauni 2,500. Au miaka 10 jela! Waganda wengi wako kinyume na kupitia mitandao ya facebook na twitter wameendesha kampeni '#SaveMiniSkrt' inayolenga kupinga muswaada huu!
Waziri huyu ambaye ni Padre wa zamami wa Kanisani aligusia pia suala la picha chafu za ngono na kusema, "Serikali itaweka system itakayotambua raia yupi kaingia kwenye mtandao upi na hivyo kumtambua ni nani kaangalia picha chafu, 'pornographic pictures'.
Hii inamaanisha kuwa hata wasanii kama Beyonce na Madonna watapigwa marufuku kuja Uganda. Pia luninga za Uganda hazitaruhusiwa kuonyesha picha chafu zenye kuonysha maungo ya mwanamke.
Adhabu kwa mwanamke atapatikana na hatia ya kuvaa nguo fupi atapigwa faini ya Shilingi za Kiganda milioni 10 sawa na pauni 2,500. Au miaka 10 jela! Waganda wengi wako kinyume na kupitia mitandao ya facebook na twitter wameendesha kampeni '#SaveMiniSkrt' inayolenga kupinga muswaada huu!
Thursday, 4 April 2013
CHRIS BROWN AJA NA AZONTO, AWAKERA WAGHANA!
Rihanna's boo Chris Brown amelikoroga! Ni baada ya jana kufanya interview moja na BET na kutangaza kuwa katika video yake mpya ya single, 'Fine China' atakayoitoa hivi karibuni itakuwa na dance yenye style ya Azonto. Na akakiri kuwa style hiyo alifundishwa na WizKid msanii toka Nigeria hivyo kuonekana kana kwamba style hiyo ni ya Wanigeria.
Hapo ndipo msala ulipoanza kwani Waghana wanahisi Chris Brown alikosea kwa kusema kuwa asili ya Azonto ni Nigeria. vymbo vya habari huko Ghana havikuwa nyuma katika hili kwani blog moja 'Ghana Celebrities’ aliandika,
"Chris Brown Talks About AZONTO On BET, But He Says The Dance Is A Nigerian Thing". Mtandao huo uliendelea kuandika, "It seems Chris Brown coming to Ghana and introducing Nigerian artiste-Wizkid on stage to do Azonto was not a mere mistake. In fact, Chris Brown thinks Azonto is a Nigerian thing. Probably he is taking the piss out of Ghanaians by failing to credit Ghana with the dance which has gained international recognition"
Kwa upande mwingine Chris Brown pengine hajui lolote kuhusu asili ya Azonto na kwa vile alifundishwa kucheza style hiyo na WizKid msanii toka Nigeria ndio maana Chris Brown anaihusisha Azonto na Nigeria na sio Ghana!
EXCLUSIVE: KANYE WEST & KIM KARDASHIAN WAMWAGANA!
Rapper Kanye West na The reality Tv show star Kim Kardashian wameripotiwa kuachana. Ingawa hakuna taarifa rasmi kutoka kwao lakini gigs has it kuwa mastaa hawa ambao kila kukicha hushika vichwa vya habari duniani si wapenzi tena.
Inasemekana mastaa hawa wanashindwa kutangaza kuachana wakihofia vyombo vya habari pia kuachana kwao kutaonekana kumetokea muda mfupi sana tangu waamshe penzi lao. Pia sababu nyingine inayowafunga mdomo ni mtoto wanayetarajia kumpata hivi karibuni! Sababu ya tatu Kanye anasubiri mpaka ali-release album yake mpya.
Tuesday, 2 April 2013
KWANZA FM YA LADY JAY DEE IPO NJIANI!
Nani kakwambia mtu mzima anatishiwa
nyau? Maisha mipango. Huyu ndie ‘Anakonda’! Lady Jay Dee a.k.a Judith Habash
mwenyewe ame-break tena the pieces of news kwamba kituo chake cha redio kipo
karibu kufunguliwa! Oh my God!
“Kwanza FM coming soon. Yangu
mwenyewee
— Lady JayDee (@JideJaydee) April 1, 2013
— Lady JayDee (@JideJaydee) April 1, 2013
Huwezi kuanza mapambano km
hujajizatiti, si utapigwa ufe? Vita ni pale tu unapokuwa tayari. Sikuwa tayari
huko nyuma ndio maana sikuongea — Lady JayDee (@JideJaydee) April 1, 2013”
Tweets hizi zimekuja baada ya
kuishutumu The Super Brand Radio Station Clouds Fm kwa kile alichokiita ni
kumbania kwa kupiga nyimbo za wasanii ambazo watu ama mashabiki hawazikubali
ilihali bado kituo hicho kinajiita redio ya watu!
![]() |
| Anaconda |
Subscribe to:
Posts (Atom)






