Kupitia kituo cha television cha History Channel, tamthiliya ya "The Bible" inayoonyeshwa kupitia channel hiyo imekuwa gumzo kutokana na 'shetani' anayeonekana katika movie hiyo kufanana na rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama.
Tamthiliya hii ya kidini imetengenezwa na Mark
Burnett na kuchezwa na Mehdi Ouzaani imevuta hisia za watazamaji wengi na kwa kuonekana kwake siku ya Jumatano iliyopita imeweza kutazamwa na watazamaji milioni 13.1
Kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja Amber Rose alikuwa very busy akimlea mtoto wake Sebastian. Sasa A.Rose anaweza hata kuchat katika mitandao ya kijamii na fans wake, kushare pics na hata kutoka nje for shopping.
From Lagos to France to New York, Koko master, D' Banj anakuja na documentary ya dakika 90 inayohusu hustle zake za kimuziki. Interviews za radio na tv, performances mbalibali na maisha yake ya kimuziki kwa ujumla yamewekwa katika doc hii inayoitwa "The Tales of Oliver Twist - The Documentary". The Boss himself Kanye West pia ametokelezea katika doc hii!
Hatimaye 'Mirror' hitmaker Lil Wayne ameruhusiwa kutoka hospitalini, California's Cedars-Sinai Medical Center's intensive care unit (ICU) alikokuwa amelazwa kwa siku 6 zilizopita. Lil Wayne a.k.a Dwayne Carter alipatwa maswahibu hayo baada ya kubugia madawa ya kulevya aina ya 'codeine' kupitiliza mpaka kupoteza fahamu kabisa.
Young Money president Mack Maine alithibitisha kutolewa kwa Wayne kupitia akaunti yake ya twitter, ''Thanks to Cedar Sinai for everything!!! @LilTunechi has been officially been released and is headed home....God is great (sic)''. ''God Bless.my son just release frm hospital.thanks 4 all tha luv.YMCMB.Richgang (sic)''