Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Tuesday, 8 January 2013

DAVID BECKHAM NA STYLE YA NYWELE

inasemekana kuwa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya uingereza David Beckham ndiye mwanamme wa kwanza na wa pekee aliyekuwa na style nyingi sana za nywele na watu wengi sana wa Uingereza walizipenda style zote alizokuwa akizitumia hakuna hata moja iliyowachukiza watu

PICHA TOFAUTI ZA DAVID BECKHAM ZIKIONYESHA STYLE TOFAUTI ZA NYWELE

MJAMZITO KIM NA KANYE WEST WANUNUA NYUMBA YAO YA KWANZA PAMOJA

Kim kardashian na Kanye West waonekana wakiandaa nyumba yao ya kwanza iliyoko California kwa pamoja kama maandalizi ya mtoto wao atakaezaliwa.
Inasemekana nyumba hiyo iligharimu  kiasi cha dola milioni 11

MUONEKANO WA NYUMBA KWA JUU

Monday, 7 January 2013

KIM NA KANYE WAKATAA OFA YA DOLA MILIONI TATU

Kim Kardashian na Boy friend wake Kanye west wanasemekana kukataa ofa ya dola milioni tatu (3) kwa picha za kipekee zitakazopigwa za mtoto wao ambae bado hajazaliwa kwa malengo ya kutabiri (prediction) kama mtoto huyo atafanana na nani? au atakuwa na labda pua ya Kanye West au Lips za Kim au vyovyote vile.
vyombo vingi vya habari vya magharibi vimekuwa vikiwania kupiga picha za kwanza kabisa pindi mtoto huyo atakapo zaliwa.



hata hivyo Joe Mullins ambae ni Forentic artist wa Marekani alizisoma picha za sasa za Kim na Kanye kisha kwa kutumia teknolojia ya sasa ya kompyuta akatabiri yafuatayo:-

uso wa mtoto wa kiume atakaezaliwa atarithi pua ya Kanye na shepu ya uso huku akiwa na mdomo kama wa mama yake ambae ni Kim.

MFANO WA PICHA YA MTOTO HUYO ANAETABIRIWA KUWA

RIO FERDINAND KUWA JAMES BOND WA KWANZA MWEUSI

Mchezaji wa soka wa klabu ya Manchester United ya Uingereza ameeleza kuwa atakapostaafu kucheza soka anatamani kwenda Hollywood kwaajili ya kufanya kazi ya film. angependa awe James Bond wa kwanza muafrika.


Saturday, 5 January 2013

AMBER ROSE KUSHEREHEKEA KUWA MAMA

Amber Rose ambaye ni Mchumba wa Wiz Khalifa aonyesha wazi tumbo lake kwa kuvaa mavazi ya kubana akiwa na Chriss Brown pamoja na mchumba wake Wiz Khalifa.

Akiwa katika mavazi yake ya rangi ya njano mwanadada huyo ambaye ana umri wa miaka 29 hakuacha kutabasamu muda wote huku akipiga picha kuonyesha tumbo lake la ujauzito akiwa ni mama mtarajiwa.

Amber Rose Akipiga picha kwa tabasamu.

Amber Rose, Chriss Brown na Wiz Khalifa wakipiga picha wote wakiwa katika hali ya furaha