Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Wednesday, 10 October 2012
EXCLUSIVE PHOTO: PREZZO WITH GOLDIE AT ONE CAMPAIGN OFFICES IN DC
Wawili hawa wanaonekana kupendana sana, kila napokuwepo mmoja wao basi pembeni yake ni lazima mwenzake nae awepo.Hili limejidhihirisha leo baada ya Prezzo ambaye ni balozi wa ONE CAMPAIGN kupiga picha na Goldie toka Nigeria huko DC zilizopo office za One Campaign.
Tuesday, 9 October 2012
AY NA CP KUPERFORM KWENYE ROAD2CHOMVA12 LIVE AT BILLICANAS
We all know AY na C Pwaa wamachaguliwa kuwania tunzo za Channel O Music Video Awards mwaka 2012.
C Pwaa amechagulia kuwania tunzo ya "Most Gifted Dance Video Of The Year" kupitia video yake ya "Hhmmm" (Code: 5F) wakati AY anawania tunzo tatu za MOST GIFTED MALE VIDEO kupitia video yake ya aliyowashirikisha Romeo & Lamyia ya "Speak With Your Body" (Code: 1E) pia MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO kupitia collabo yake na Sauti Sol – I Don’t Want To Be Alone (code: 13C) bila kushau MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR through Speak With Your Body song with Lamyia and Romeo.
Kupitia ukurasa wa facebook wa CPwaa jana ali-post kuhusiana na performance watakayoifanya kabla ya awards hizo maarufu kama "Road to CHOMVA 2012" itakayofanyika tarehe 28 ya mwezi huu pale Club Billicanas toka kwa AY na yeye mwenyewe huku pia upande mwingine ambao pia watapewa support toka wka Ngwair na Mwana FA.
ushahidi huu hapa...
Kuendelea kuwapigia kura wawakilishi wetu hawa ingia hapa http://www.facebook.com/channelotv.
Subscribe to:
Posts (Atom)





