Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Wednesday, 3 October 2012
NICK MINAJ AITWA BI**CH NA MARIAH CAREY
Rap star Nicki Minaj aemchimba mkwara mkali Mariah Carey baada ya kumita "bi***h".
Kisa chenyewe kilitokea wakati producers wakiendelea na mchakato mzima wa ku-film at Charlotte, North Carolina jana ambapo issue nzima ilibidi isimame kwa muda baada ya Nick Minaj kushindwa kujizuia kutokana na kutamkiwa neno hilo na Mariah ambaye ni judge mwenzake kwenye American Idol.
Nicki Minaj aliamua kuondoka kwenye set kutokana na kitendo cha Mariah Carey kumuita bit**h.Haikuishia hapo Nicki's manager na team nzima ilimuomba diva huyo arudi ambapo alikubaliana nao but mwisho wa siku ilibidi producers wa show hiyo wakusanye virago vyao baada ya Mrs. Nick Canon kuendelea kumrushia vijembe Nicki.
'Mariah anataka Ameican Idol ya sasa kuwa na panel yenye bright, inspirational na pia judges wenye kukosoa katika hali ya kujenga na si vinginevyo.Mariah anadhani Nicki atakuwa mharibifu na si hivyo tu itakuwa ni kuhusu yeye na tabia zake za kijinga. Mariah hatakuwa na raha kama Nicki ataingia kwenye panel hiyo ndio maana kaamua kuweka hisia zake hadharani", source.
Drama nzima alianza mapema mwezi September 2012 pale ambapo Nicki alikuwa akimkosoa mshiriki lakini cha kushangaza Mariah alipingana vikali na first lady huyo wa YMCMB wazi wazi.
Je Nicki, 29 atakubali kuendele kukaa meza moja na Mariah, 42 huku akiendelea kuitwa bi**h?
Watch out this space upate kujua kinachoendelea...Angalia kisanga chenyewe kilivyokuwa...
MIKEL OBI AZINDUA RECORDING LABEL YAKE IITWAYO MMM
Mikel Obi ambaye ni midfielder wa Chelsea/Super Eagles amezindua his own record label
kwa kushirikiana na rafiki zake wa karibu na kupewa tittle ya Matured Money Minds Records!!
Swali ni je will MMM take over kama labels za MMG, YMCMB?...lets wait.
Tuesday, 2 October 2012
EXCLUSIVE: DIAMOND NA WEMA SEPETU SASA NDANI YA FILAMU MOJA YA "CROSS OF LOVE".
Kwa mara ya kwanza Diamond anatarajiwa
kuonekana katika movie za Kibongo chini ya mwenyeji wake Wema sepetu
ambaye alikuwa ni mpenzi wake wa zamani..
Filamu hiyo itakayomjumuisha Ommy Dimpoz itaitwa "CROSS OF LOVE".
Filamu hiyo itakayomjumuisha Ommy Dimpoz itaitwa "CROSS OF LOVE".
Kwa mujibu wa chanzo chetu, movie hiyo imeandaliwa na kuandikwa na
Seles Mapunda ambaye pia ni director wa filamu hiyo.
"Maandalizi ya filamu hiyo yapo katika hatua za mwisho kabisa na imebaki kazi ya casting ya washiriki 15 tu", Seles.
Hii ni nafasi nyingine kwa Diamond kukuza kipaji chak
"Maandalizi ya filamu hiyo yapo katika hatua za mwisho kabisa na imebaki kazi ya casting ya washiriki 15 tu", Seles.
Hii ni nafasi nyingine kwa Diamond kukuza kipaji chak
Subscribe to:
Posts (Atom)


