Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Wednesday, 19 September 2012
Tuesday, 18 September 2012
EXCLUSIVE:CAMP MULLA WACHAGULIWA KWENYE TUNZO ZA MTV EMAs.Nomination kubwa mbili kwa siku moja!
Camp Mulla wamechaguliwa kuwania tunzo za MTV Europe Music Award kwenye category ya Best African Act.
Crew hii imechaguliwa sambamba na WizKid, ambaye tayari wamesha-record nae ngoma.Wengine waliochaguliwa kushindana nao kwenye category hiyo ni pamoja na Nigerian superstar, D'Banj, Mi Casa wa South Africa na Senegal's Sakordie.
Kwenye tunzo za BET Awards za mwaka huu, Camp Mulla pia walichaguliwa kwenye category moja na Sarkodie na WizKid, ambaye aliibuka kidedea.
Mapema leo asubuhi, ilitangazwa kuwa Camp Mulla were nominated for a MOBO Award (Music Of Black Origin) kwenye category ya Best African Act. Hawa watoto wamezidi sasa.
Kwenye MOBO Award Camp Mulla watachuana na hawa hapa:
Best African Act
Fatoumata Diawara
P Square
The Very Best
Spoek Mathambo
D'Banj
Fally Ipupa
Sarkodi Duncwills
Cabo Snoop
Camp Mulla
Amadou and Mariam
Subscribe to:
Posts (Atom)





