Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Friday, 14 September 2012

CHECK OUT BEHIND THE SCENE YA VIDEO YA 'STELLA STELLA STELLA' TA STL

We all know STL hivi majuzi ali-release video yake ya "STELLA STELLA STELLA" ambayo inauonesha staright u-bad gal wake.
Check out ilivyokuwa......

Picture 13

 Picture 7

Picture 15

Picture 12

Picture 14

PICHA YA UTUPU YA STL HII HAPA


Kweli STL kaamua kuwa 'bad girl' kama alivyoimba kwenye ngoma yake ya "Bad As I Wanna Be".
STL ambaye jina lake halisi ni Stella Mwangi ameonesha u-bad gal wake baada ya kupiga picha ya utupu.Picha hiyo imenogeshwa na maji yanayotiririka mwilini mwake.

NEW TRACK: ANETH KUSHABA - I LIKE IT MASTER


NEW VIDEO - LORD EYEZ FEAT. JOH MAKINI

WATAKA KULA BATA KWA RAHA..SOMA USHAURI WA NONINI


Je wewe ni party animal?and wajua jinsi ya kula bata bila matatizo..soma advices 10 za Nonini hapa.....
1. Kumbuka sio lazima utumie alcohol or other drugs to have fun.
2. Kula poa kabla utoke keja, sawa. A full stomach slows the absorption of alcohol.
3. Ka unakata maji, kunywa mdogo mdogo. Don’t let others top up your drinks and go for low alcohol options wherever possible. Na ka wewe si mtu ma shots, jo usijichoche.
4. The best way to avoid drug-related problems is not to use at all. If you do, make sure you know what you’re taking and find out how to reduce the risks of overdose or injury. Kisha ambia beste zako unatumia nini ndio incase of emergency ambulance ikamu waulize, "Ametumia?" Watu wanajua what you used sawa.
5. Trust your own judgement. Don’t let peer pressure sway you into doing anything you don’t want to do. Fuata nafsi yako.
6. Kuwa radar na dunda na mabeste una-trust.
7. Take condoms with you if you think you might end up having sex. Na usiweke tu kwa mfuko, tumia.
8. Don’t get into a car with a driver who has been drinking. Panda taxi.
9. Remember that your judgement may be impaired if you’ve been drinking or taking drugs. Don’t take risks you may regret such as diving into water if you don’t know how deep it is or fooling around near swimming pools. Ubabini…mchoree.
10. Leave for somewhere safe if you feel unsafe at a venue or party.