Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Sunday, 24 November 2013
Thursday, 21 November 2013
PETER P-SQUARE AMTETEA MKEWE!
![]() |
| Lola Omotoya |
"Nina furaha sana leo kwasababu ninaungana na kuwa mwili mmoja na mwanamke ninayempenda. Ni mwanamke mkakamavu/shupavu na yupo na mimi nyakati zote. Ninaamini ataniletea furaha", Peter P-Square.
![]() |
| Peter, Lola, Genevive Nnaji na mastaa wengine |
Wednesday, 20 November 2013
WASHIRIKI WA TANZANIA TOP MODEL KUPIGA KAMBI GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL
Wanamitindo wakiwasili leo mapema Giraffe Ocean View Hotel wakitokea Tamar Hotel walikokuwa wameweka kambi ya siku mbili baada ya kutokea hotel ja Jb Bekmont.
Giraffe ocean View Hotel ,hoteli yenye hadhi ya nyota nne,karibu Giraffe upate huduma zilizo sawa na thamani ya pesa zako,inasifika kwa ukarimu uliopita kiwango.
TANZANIA TOP MODEL WAFUNGUA RASMI ZOEZI LA UPIGAJI KURA KWA WASHIRIKI
Bwana Kalikumtima aliyasema hayo keo katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanika katika hoteli ya Tamar iliyopo mwenge jijini Dar.
Namba iliyotangazwa ni 15564 ikiwa ni namba maalumu unatuma ujumbe mfupi wa maneno Mfano : TM Nyanjige kwenda 15564 hapo utakuwa umemwezesha mshiriki umpendae kushinda taji. hilo.
Baadhi ya vionjo vya vipindi vya televisheni vitakavyoruka Clouds Tv kila siku kuanzia leo usiku saa tatu hadi siku ya fainali vilioneshwa kwa waandishi wa habari hii leo
Huu ndiyo mfumo mpya wa kumchagua mshiriki umpendae.
Washiriki wa Tanzania Top model wakiwa katika mkutano na waandishi wa Habari hii leo.
MPIGIE KURA MSIRIKI UMPENDAE: TANZANIA TO MODEL 2013

Mpigie kura mshiriki umpendae kwenda namba 15564.
Subscribe to:
Posts (Atom)

