Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday, 20 November 2013

TANZANIA TOP MODEL WAFUNGUA RASMI ZOEZI LA UPIGAJI KURA KWA WASHIRIKI

  Mkurugenzi wa shindano la Tanzania Top Model 2013 Bw. Jackson Kalikumtima akitangaza rasmi namba ya kupiga kura ili kumchagua mshiriki umpendae kushinda taji la Princess of Tanzania.
  Bwana Kalikumtima aliyasema hayo keo katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanika katika hoteli ya Tamar iliyopo mwenge jijini Dar.
Namba iliyotangazwa ni 15564 ikiwa ni namba maalumu unatuma ujumbe mfupi wa maneno Mfano :  TM Nyanjige kwenda 15564 hapo utakuwa umemwezesha mshiriki umpendae kushinda taji. hilo.
 Baadhi ya vionjo vya vipindi vya televisheni vitakavyoruka Clouds Tv kila siku kuanzia leo usiku saa tatu hadi siku ya fainali vilioneshwa kwa waandishi wa habari hii leo
 Huu ndiyo mfumo mpya wa kumchagua mshiriki umpendae.
 Washiriki wa Tanzania Top model wakiwa katika mkutano na waandishi wa Habari hii leo.

MPIGIE KURA MSIRIKI UMPENDAE: TANZANIA TO MODEL 2013


 Mpigie kura mshiriki umpendae kwenda namba 15564.

Sunday, 17 November 2013

WASHIRIKI WA TANZANIA TOP MODEL WAANZA KUFUNDISHWA DANSI LEO

 Mwalimu wa dansi 'bad spencer' akitoa mafunzo kwa washiriki wa Tanzania Top Model 2013,mazoezi haya yameanza jioni ya leo na yataendelea kwa wiki tatu zijazo,dansi ya ufunguzi ni kitu muhimu kwa mashindano ya mitindo na urembo.
WAshiriki wakijaribu kumfatilia kwa vitendo mwalimu wao ambapo steps zilikuwa ngumu kidogo ila modoz wanajitaidi kumudu japo ilikuwa ni siku ya kwanza.
Ni step kwa step sambamba na mwalimu haina kupoteza point.
   Mwendo sebene sasa....watu weweeeeee..!!
mmmmh usiniguse mie..!!
 
 Mwalimu Bad spencer akitoa maelezo kwa kina washiriki wa Tanzania Top Model 2013 jinsi ya kutumia viungo vya mwili kutengeneza umbile la kitu kingine.
 
 
 
 
 
 
 
 Matroni'Zakia' akiwa amepozi kwa kiti.

Friday, 15 November 2013

SALHA ISRAEL NA MAPOZI KWA POZI MBELE YA KAMERA

 Salha Israel akiwa katika pozi tofauti mbelee ya kamera.
 
 
Tweerk ..twerk...twerk... baby....
 
 
 
salha Israel ambae ni matroni mpya wa washiriki wa Tanzania Top model 2013,hivyo tunategemea kuona experiance na skills za mdada huyu....endelea kufatilia shindano hili kupitia Tanzania Top Model blog na Unique Entertainment blog.