Washiriki
wanaowania taji la Tanzania Top model 2013 wakiwa mazoezi leo jioni
katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya viunga vya jiji la
Dar,namaanisha posta..
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Wednesday, 13 November 2013
Wednesday, 23 October 2013
tztTZTOPMODEL: WASHIRIKI NA WALIOTEULIWA - DAR TRH 20 OCT' 2013
Saturday, 19 October 2013
TANZANIA TOP MODEL: USAHILI DAR NI KESHO TAREHE 20/10/2013
Baada ya kuzunguka mikoa kadhaa ya Tanzania ikiwemo Arusha, Moshi na Dodoma, sasa tunarudi jijini Dar Es Salaam. Usahili utafanyika kesho tarehe 20 Octoba, 2013. Mahali ni Lamada Hotel, Ilala kuanzia saa 4 asubuhi.
Huu ni wakati wako wewe msichana wa Kibongo uliyekuwa na ndoto za muda mrefu kupitia modelling ndani na nje ya Tanzania. Time ndio hii. See you there bila kukosa!
Huu ni wakati wako wewe msichana wa Kibongo uliyekuwa na ndoto za muda mrefu kupitia modelling ndani na nje ya Tanzania. Time ndio hii. See you there bila kukosa!
![]() |
| Arusha |
![]() |
| Dodoma |
![]() |
| Moshi |
Wednesday, 9 October 2013
MCHEZAJI WA MAN UNITED NA ENGLAND KUPANDA MLIMA KILIMANJARO
Kwa muda wa siku 10, aliyekuwa mchezaji na kepteini wa Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, Bryan Robson atapanda Mlima Kilimanjaro akiambatana na Kevin Moran na timu ya watu wa watu 25.
Bryan Robson atapanda Mlima huu mrefu kuliko yote barani Afrika katika kuchangisha Mfuko wa Manchester United Foundation kwaajili ya watoto walemavu!
Bryan Robson anaumwa kansa ya koo kwa miaka miwili sasa.

Subscribe to:
Posts (Atom)