RAISI AWAFARIJI MAJERUHI AGA KHAN HOSPITAL
Kabla ya Tukio
Baada ya kumwagiwa Kitu kinacho zaniwa ni maji maji ya tindi kali
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dr J.M.Kikwete
akitoka Hospita AGA KHAN kuwajulia hali
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Friday, 9 August 2013
Friday, 26 July 2013
BUSTA RHYMES KUPAFOM KENYA
Sasa rasmi kuwa busta Rhymes a.k.a Trevor Taheim Smith Jr atatua Kenya kwa ajili ya kazi moja tu, nayo ni kuwarusha maraia wote wa 254. Hiyo itakuwa mwezi September, 2013. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Busta kuja Kenya na anatarajiwa kupagawawisha crowd litakalotokea kwa ngoma zake zilizotamba kama 'Twerk It' na Nicki Minaj, 'I Got What You Want' na Mariah Carrey, 'Look at Me Now' akiwa na Chris Brown, 'Touch It with the whole world' na ngoma nyingine lukuki!
Thursday, 25 July 2013
GENEVIVIE ANA MIAKA 10 HAJA-DO!
Hii imechukuliwa kama gia ama kick ya kumlegeza bwana wake ili
aharakishe ndoa yao kwa mwanamama mahiri katika tasnia ya uguzaji, Genevivie
Nnaji kusema kuutangazia umma kuwa, ana miaka kumi toka alipofanya ngono kwa
mara mwisho.
Hivi ndivyo Nnaji anavyofunguka,
"Nimekuwa single na mpweke kwa muda mrefu. Hata
nilipokuwa na D'banj, mahusiano yetu yalikuwa ya muda mfupi sana kinyume na matarajio yangu. Namshukuru Mungu sasahivi nimempata mwanaume
ambaye nitamaliza naye maisha yangu yote"
Wednesday, 24 July 2013
NYAKATI MBILI MBAYA ZA BEYONCE!
Hii ilikuwa ni tour yake iitwayo 'B-Day tour' akiperform 'Ring the Alarm'. Hapa alidondoka mzima mzima wakati akipanda ngazi za steji.
WASANII WATANO WASIOJUA KUIMBA JAPO MASHABIKI WANAWAKUBALI!
1.KEYSHIA COLE
Inatakiwa atafutwe mtu amwambie binti huyu wa Frankie kuwa sauti yake haijakaa sawa. Ni lazima atafute mwalimu wa sauti ili amuweke sawa.
2.ALICIA KEYS
Baada ya kuzaa, Alicia amerudi tena kuwa mzuri ajabu kimuonekano. Lakini kiumbaji hasa vocally, wataalam wa mziki wanasema ameshuka sana. Na hii ni baada ya kuambatana na mumewe Swizz Beatz. Sauti yake haijarudi na kuwa tamu tena.
3.JUSTIN BIEBER
Ana uwezo mzuri wa kulimiliki jukwaa lakini linapokuja suala la sauti, Bieber hamgusi Usher hata Maxwell. Kwa mwendo huu miaka kumi toka sasa anaweza kuwa amesahaulika.
4. MICHELLE WILLIAMS
Michelle anaboa sana. Sauti yake bado haijawa ile ya kuweza kumuweka katika list ya waimbaji bora USA kutokana na vile ana pata shida sana kufikia nota za juu katika uimbaji wake. Alikuwa memba wa Destiny child. Pengine hii ndio sababu iliyomfanya asionekana kung'aa katika kundi hilo lililovunjika na hata kupotea kabisa tofauti na Beyonce na Kelly Rowland.
5. ROBIN THICKE
Robin anaonekana mlazimishaji kwelikweli. Anataka kwenda high notes lakini hafiki inavyotakiwa kimuziki. Tafura performace yake ya BET 2013.

Subscribe to:
Posts (Atom)