Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Wednesday, 17 July 2013
Saturday, 6 July 2013
FEZA KESSY AMWAGA MITUSI KWA KISWAHILI MJENGONI
Mshiriki wa Tanzania katika jumba la big brother amejitengenezea mazingira ya kutoka mapema kwenye game baada ya kuanza kuonyesha tabia yake halisi kama ni mgomvi na anaetumia lugha chafu bila ya aibu.
ikiwa mida hii party inaendelea kulikua na sitofahamu ya Oneal na Feza wakizozana huku Feza akimtuhumu Oneal ukaribu wak na Pokello kitu kinacho mpa mashaka kwani Feza na Oneal ni wapenzi ndani ya mjengo huo sasa ule wasi wasi wa Mapenzi umemuingia Feza.
Baada ya Feza kuingia kweny paty alienda moja kwa moja kwa mwakilishi wa Kenya Annabel na kumwambia kwamba Pokelo ni Mngese na lile tusi jingine Kuuuu m*****k***Feza alitamka matusi hayo katika lugha ya Kiswahili nazani alitaka Pokelo asielewe hayo Matusi.
je Feza hapo anajiweka katika nafasi gani ndani ya jumba hilo
Feza
Pokello
Feza & Oneal
Feza & Oneal siku ya harusi ndani ya Mjengo wa BBA

Wednesday, 3 July 2013
NANDO KUTIMULIWA BBA
Mwakilishi wa Tanzania Nando katika jumba la Big brother huenda akatimuliwa.
kwa mujibu wa big ambae alimuita Nando kumpa habari hyo, na kisa chenyewe ni Nando baada ya kuingia na Kisu katika party ambayo big huwaandalia kila siku ya jumamosi.
Big alimuita Nando katika Diary room nakumuonyesha clps ya video ambayo ilionyesha Nando ameshika kisu na alipo ulizwa ni kwa nini alikua na kisu wakati ni hatari kwa usalama wake na washiriki wenzake Nando alijibu alijisahau alipo maliza shughuli ya kutumia kisu kukiacha na badala yake alikiweka mfukoni lakini hakua na nia ya kumzuru mtu Big alimwambia akawaeleze washiriki wenzake kwa nini aliingia na kisu na alifanya hivyo kwa kuwaeleza ni kawaida yake hata akiwa nyumbani anapenda kucheza na kisu na hapo alijisahau lakini hakuwa na nia ya kumzuru mtu na akaomba msamaha
lakini washakunaku kwenye jumba hilo wanaona ni kama wivu wa mapenzi ulimpata baada yeye na Sulu wote wakiwa wanachezewa akili na binti mtata Selly Big amempa onyo la Mwisho Nando na akifanya kosa jingine atafukuzwa kwenye jumba hilo.
Nando
Fatima ,Nando na IK

Tuesday, 2 July 2013
CHRIS BROWN, RIHANNA NA DRAKE WATAKATA BET AWARDS 2013
Juzi Jumapili ilifanyika ile show the best kwa watu weusi huko United States of America maarufu kama BET awards. Awards hizi kwa 2013 zilitolewa katika ukumbi wa Nokia Theatre, Los Angeles na baadhi ya wasanii waliofanya vizuri ni pamoja na Chriss Brown, Rihanna, Drake na wengine kibao.
![]() |
| Nick Minaj |
![]() |
| Ice Prince |
Kwa Africa, rapper Ice Prince toka Nigeria aliwagalagaza big names kama 2face Idibia, Toya Delazy (South Africa), Donald (South Africa), R2Bees (Ghana), Weasal na Radio (Uganda). List nzima ya washindi na tuzo walizokamata ni kama ifuatavyo;-
Best Female R&B/Pop Artist: Rihanna
Best Male R&B/Pop Artist: Chris Brown
Best Group: Macklemore and Ryan Lewis
Best Collaboration: A$AP Rocky (featuring Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar) – F***in’ Problems
Best Male Hip Hop Artist: Kendrick Lamar
Best Female Hip Hop Artist: Nicki Minaj
Video Of The Year: Drake – Started From the Bottom
Video Director of the Year: Benny Boom
Best New Artist: Kendrick Lamar
Best Gospel Artist: Mary Mary
Best Actress: Kerry Washington
Best Actor: Jamie Foxx
YoungStars Award: Gabrielle Douglas
Best Movie: Think Like a Man
Subway Sportswoman of the Year: Gabrielle Douglas
Subway Sportsman of the Year: LeBron James
Coca-Cola Viewers’ Choice Award: Drake – Started From the Bottom
Centric Award: Tamar Braxton – Love and War
Best International Act: Africa – Ice Prince (Nigeria)
Humanitarian Award: Dwyane Wade
Lifetime Achievement Award: Charlie Wilson
FANdemonium Award: Chris Brown
Wednesday, 26 June 2013
FEZA KESSY ASHIKWA PABAYA
Kwa wale wafuatiliaji wa Big Brother Afrika A.K.A BBA wanaweza kukumbuka siku Feza alipo ingia mjengoni alisema yeye hataingia kwenye mahusiano na wanaume, katika kipindi atakach kuwa Mjengoni lakini kadri siku zinavyo kwenda mambo ni tofauti kabisa na ahadi aliyo toa hapo Mwanzo.
Kwa sasa mwakilishi huyo wa Tanzania Mapenzi MOTO MOTO yamemshika kwa kijana wa Botswan ONeal ambae ni mtangazaji wa Radio na Tv huko Botswana maana kadri siku zinavyo kwenda mapenzi moto moto yanaongezeka mambo ya madenda ma hugs kwa kwenda mbele kana kwamba hayo hayatoshi na sasa ndio wanaanguka pamoja kwa Bed
Swali ni kwamba siku na wenyewe wakipata nafsi ya ku spend pamoja kwenye private room ua BIG nao watavunja Amri ya sita ? kwani tulimshuhudia Bety wa Ethopia akiwa mshiriki wa kwanza ndani ya Mjengo akila raha na BOLT kutoka SIERRA LEON na baadae alifuata Mtanzania Mmarekani Nando alivyo kua akiomba mambo kwa Selly kutoka GHANA walipo kua kwenye chumba hicho maalumu cha BIG na hatimaye SELLy alikonga moyo wa NANDo kwa kumpa mambo
Subscribe to:
Posts (Atom)