Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Monday, 24 June 2013

EXCLUSSIVE: KERI HILSON ACHUMBIWA!

 Keri Hilson amekuwa mchumba halali wa mcheza kikapu wa timu ya   Oklahoma City Thunder, Serge Ibaka. Pete hiyo ilikuwa ni ya bibi yake Serge Ibaka and it is not that much cheap vile ili-consume millions of dollars though not mentioned by Serge Ibaka. Well CONGRATS GUYS!!!


Sunday, 23 June 2013

JAY Z ATOA ALBUM KWA KUSHIRIKIANA NA SAMSUNG!

Katika kuhakikisha kila raia anaifahamu na itakapotoka ainunue albam yake itakayouzwa kwa jina la “Magna Carta Holy Grail”, Jay Z a.k.a Hovva alichukua time ya kutosha katika break ya mechi ya  fainali ya kikapu ya NBA game 5 kuitangaza. 


Kwa kushirikiana na Samsung watuamiaji milioni 1 wa Samsung Galaxy 4 watapata album hii bure yenye jumla ya mgoma 13, na hii ndio list kamili ya ngoma hizo:-
1. Picasso Baby
2. Heaven
3. Versus
4. Tom Ford
5. Beach Is Better
6. FuckWithMeYouKnowIGotIt
7. Oceans
8. F.U.T.W.
9. Part II (On The Run)
10. BBC
11. La Familia
12. Jay-Z Blue
13. Nickles & Dimes


Kwa mashabiki wasiotumia simu za Samsung wataipokea album hii July 7. Hakuna artiste yeyote aliyetajwa kama collaborator na hilo ndilo limeshangaza raia wengi na swali limebaki je, ngoma zote hizi Jay Z kazifanya pekeyake?

KIM KARDASHIAN AFURAHIA KUMNYONYESHA MTOTO WAKE.

Kim Kardashian AFURAHIA KUMNYONYESHA NORTH WEST

Mwana dada Kim au Mbabs wa Kanye west anasema anafurahia zaidi anavyo mnyonyosha mtoto wake North West hadharani na hii ni tofauti kabisa na kile alicho kisema hapo nyuma katika mwaka wa 2010 kuwa hakufurahishwa na mama mmoja aliyekua akimnyonyesha mwanae Restaurant na kumbadilisha nepi chafu. lakini kwa sasa Kim huyo huyo alikua akipinga  ndio anafanya maswala ya kunyonyesha hadharani kwa ukamilifu.


Friday, 14 June 2013

WILL SMITH AMLA DENDA MWANAE JADEN!

Katika hali ya kawaida lazima ishangaze lakini lengo lilikuwa ni kuonyesha tu ni jinsi gani baba yaani Will Smith anampenda na yuko karibu mno na mwanae Jaden Smith mpaka kufikia hatua ya kumla denda mbele ya kioo cha Thai Television walipokwenda kui-promote movie yao ya 'After Earth'! 

Woody Milintachinda ndiye mwanzilishi wa tukio hilo katika kipindi chake cha The Woody Talk huko Thailand pale alipouliza kama Will na Jaden wana ukaribu wowote kama baba na mwana katika maisha yao ya kawaida (maisha halisi) kwasababu kwenye movie yao walioitoa hivi karibuni ya 'After Earth' hakuna ukaribu wowote baina yao. Katika kutaka kuudhihirishia ulimwengu kuwa yeye na mwanae wako karibu kuliko watu wanavyofikiri basi akaamua kumpiga kiss mwanae Jaden




Hii ndio trailer la 'After Earth':-


: