Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Monday, 20 May 2013
Saturday, 18 May 2013
Friday, 17 May 2013
MNYAMA AMPOTEZEA ANACONDA
Katika kuthibitisha kwake kutoshiriki show hiyo, TID
aliandika hivi katika ukurasa wake wa facebook:-
“Three reasons why I can’t do Lady Jay Dee Show….. No 1 I
have better contract which pays me better than. No 2 I really don’t want to be
between anybody’s conflict, ya kwangu yananishinda naona niepushe shari. No3
nataka kuoa muda wangu ndio huu………. Kama nimekukosea captein na madame kazeni
but I have been tru the same shit”
TID anaungana na wasanii kama Linah, Barnaba na Matonya
ambao walishatangaza hapo wali kuwa hawatashiriki kabisa katika show hiyo.
Amebaki Professor Jay.
Thursday, 16 May 2013
D' BANJ ALA SAHANI MOJA NA BARNABA BOY
Wakati
wasanii wa Kibongo wakihaha kutafuta michongo mbalimbali ya kuwaingiza mkwanja
ikiwemo kupata haki sahihi ya umiliki wa ringtones zao na zaidi kupata mashavu
ya kuwa mabalozi wa makampuni mbalimbali, huko kwa wenzetu hasa West Africa wameshapiga
hatua kubwa sana katika hili.
Achilia
mbali tuzo lukuki na hits anazozidondosha siku baada ya siku, neema zinaonekana
bado kumdondokea artiste huyu kwani leo hii KokoMaster a.k.a D’ Banj alisaini mkataba
wa kuwa balozi wa benki moja huko Naija iitwayo Bank of Industry.
![]() |
|
Ms
Evelyn Oputu, Managing Director & Chief Executive Officer of Bank of
Industry na balozi D' Banj
|
Hapa Tanzania hii imekuwa hatua mpya
sasa hasa kwa upande wa mabenki kuwachagua wasanii wazawa kuwa mabalozi wake na
mfano hai tu ambao kidogo unaendaana na huo wa msanii kuwa balozi ni wa Barbana
Boy kufanya kazi na benki ya Barclays Tanzania (japo Barnabas si balozi wa
benki hiyo) lakini cha msingi ni lile dili tu kati yake na benki hiyo ambapo
Barnabas ataingiza zaidi ya dola za Kimarekani 20,000/=kwa kuimba wimbo juu ya
wanawake wa Kitanzania.
Tuesday, 14 May 2013
MZUNGU AWAFANYISHA NGONO WANAWAKE 11 NA MBWA WAKE
Kutoka Mombasa, Kenya mzungu mmoja aliyetambulika kwa jina la Christopher Clement Weisssenrieder raia wa Switzeland ametiwa mbaroni baada ya kuwafanyisha ngono wanawake 11 na mbwa wake na kuwarekodi.
Haya ndio majina yao ya wanawake hao:
Haya ndio majina yao ya wanawake hao:
- Janet Akoth Omollo,
- Mercy Waithera Karanja,
- Mary Nyambura Kimani,
- Magdaline Wairimu Chege,
- Celestine Nekesa Sitati
- Dorcus Melishah Indakwa
- Lydia Nyaboke Momanyi,
- Philidelia Mawia Solomon,
- Anne Wanjiku Gichuki
Subscribe to:
Posts (Atom)


