Mwanamuziki wa Marekani Nicki Minaj alinaswa na kamera akiwa nyuma ya gari lake aina ya Maybach akiwa ameuchapa 'fofofo' huku mguu mmoja ukiwa Magharibi na mwingine Mashariki ya mbali!
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Monday, 25 March 2013
Thursday, 21 March 2013
MASTAA WALIOREKEBISHA VINYWA VYAO
Hawa ni baadhi ya mastaa waliorekebisha vinywa vyao kwa kufanya operesheni na kufanya meno yao kupangika vizuri hivyo midomo yao kupata taswira nzuri!
1. Celine Dion
2. Keyshia Cole
3. Ludacris
4. Mike Tyson
5. Nichola Cage
Tuesday, 19 March 2013
OBAMA AFANANISHWA NA SHETANI!
Kupitia kituo cha television cha History Channel, tamthiliya ya "The Bible" inayoonyeshwa kupitia channel hiyo imekuwa gumzo kutokana na 'shetani' anayeonekana katika movie hiyo kufanana na rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama.
Tamthiliya hii ya kidini imetengenezwa na Mark
Burnett na kuchezwa na Mehdi Ouzaani imevuta hisia za watazamaji wengi na kwa kuonekana kwake siku ya Jumatano iliyopita imeweza kutazamwa na watazamaji milioni 13.1
MWONEKANO WA AMBER ROSE BAADA YA KUJIFUNGUA!
D' BANJ AJA NA DOCUMENTARY!
From Lagos to France to New York, Koko master, D' Banj anakuja na documentary ya dakika 90 inayohusu hustle zake za kimuziki. Interviews za radio na tv, performances mbalibali na maisha yake ya kimuziki kwa ujumla yamewekwa katika doc hii inayoitwa "The Tales of Oliver Twist - The Documentary". The Boss himself Kanye West pia ametokelezea katika doc hii!
Subscribe to:
Posts (Atom)


















