Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Tuesday, 5 March 2013

2FACE KUFUNGA NDOA MWEZI HUU!

Kama kuna tukio kubwa na la kusisimua linalosubiriwa kwa hamu kubwa nchini Nigeria na Afrika basi ni hili la ndoa ya 2face Idibia na Annie Macaulay. Japokuwa 2face na Annie tayari ni mme na mke kisheria lakini bado kuna ndoa ya kimila na ile ya kanisani. 

Invitation Card
Tarehe 8 Machi ndio imepangwa rasmi kufanyika ndoa ya kimila huko Nigeria Mashariki (nyumbani kwa Annie) na ile ya kanisani itafuata tarehe 23, Machi huko Dubai!

And it is strictly for invite!

Gauni la Annie limedizainiwa na Vonne Couture!



Monday, 4 March 2013

DRAKE AMWAGA MVUA YA DOLA CLUB!

Zaidi ya dolari 50,000 zilimwagwa kama mvua kwa mademu wacheza uchi, stippers na The Canadian born rapper Drake ndani ya Cameo Night Club huko Charlotte jana usiku! Drake alipomaliza mvua ya mkwanja huo floor nzima ilifunikwa kwa mihela hiyo ya Kimarekani.

Drake alizama club na mkwanja huo ukiwa ndani ya box moja kabla ya ku-make rain full of money.






Rapper mwingine Bleu Davinci aliendeleza mvua hiyo kwa kumwaga zaidi ya dola 25,000  




Thursday, 28 February 2013

SCHWARZENEGGER APATA DAKTARI WA MOYO WAKE!

Terminator, Arnold Schwarzenegger yuko katika mikono salama sasa. Ipo hivyo kwa sababu demu wake mpya ni daktari bingwa! Anaitwa Heather, na kwa mara ya kwanza walionekana katika dinner date huko Santa Monica!



Vyanzo vya udakuzi vinasema kuwa Heather sio dokta wa kawaida tu vile alishawatibu watu wazito mbalimbali akiwemo mkimbiaji maarufu, George St-Pierre. So haijajulikana kama Heather anamtibia Schwarzenegger na ni kwa ugonjwa upi! Infact she is not in the normal group of people who treat Governator, Schwarzenegger.

We smell romance.....

Wednesday, 27 February 2013

CIARA NA FUTURE MAMBO HADHARANI

Ciara na mpenzi wake mpya rapper Future wakiwa  Beverly Hills just for dinner date



They left together arm in arm after the romantic dinner date.

BEYONCE AJA NA KIATU CHA WANYAMA

Apart from music pia ni designer mkali wa mavazi. But this time around, Beyonce is taking shoe fashion to the next level. Jay Z’s wife anakuja na kiatu. Kiatu hiki kimetengenezwa kwa materials mbalimbali basically ngozi za wanyama.

PMZ au Perfectly Made Kicks ndio kampuni iliyolamba tenda yakutengeneza kiatu hicho. Ngozi za wanyama zilizotumika mpaka kukamilisha kiatu kimoja kutengenezwa ni pamoja na ngozi ya mbuni, mamba, ndama na anaconda.

Viatu hivi vimepewa jina “The King-Bey”  vimeshaidhinishwa na Beyonce mwenyewe tayari kuingizwa sokoni ingawa mpaka sasa hakuna bei yoyote iliyotangazwa kwa kila pair moja.Stay tuned!