Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday, 6 February 2013

MUTHONI THE DRAMMER QUEEN KUPAFOMU FAINALI YA AFRIKA, 2013


Msanii wa Kenya, Muthoni Ndonga a.k.a Muthoni The Drammer Queen ata-grace stage ya fainali ya mataifa ya Afika 2013 alongside well known celebrities! Fainali ya mataifa ya Afrika itafanyika Nelson Mandela Bay Stadium, huko Port Elizabeth mnamo tarehe 10, February.

Muthoni The Drammer Queen
Tunampongeza MDQ ambaye ni mjasiriamali pia rapper na mwandishi wa mashairi for this beautiful achievement!


MDQ


Tuesday, 5 February 2013

DAVID BECKHAM AANZA RASMI BIASHARA, UFARANSA!

Inasemekana kuwa sasa mpira ni kazi ya pili ya Beckham, ya kwanza ni biashara, ziwe zake binafsi au zile zinamhusisha yeye na Paris Saint-Germain, PSG! Ni mtoko mpya wa biashara yake ya boxer kwa wanaume katika picha mbili alizotoa akionyesha samples za bidhaa zenyewe! 

Becks alisajili PSG kwa miezi 5 aliandika katika katika ukurasa wake wa facebook. Hizo picha ni sehemu ya mtoko wangu  (wa bixers) uitwao H&M, kaeni tayari kwa mengi zaidi wiki hii





DANCE MIA-MIA YA MAJUU!




Monday, 4 February 2013

MORE PICTURES OF BEYONCE'S SUPER BOWL SHOW




THE MULTI-MILLION SHOW YA BEYONCE, SUPER BOWL, HII HAPA!

Mamilioni ya watu walikuwa wame-switch on tv zao ili kuangalia show ya Beyonce, Super Bowl. Mrs Carter did not disappoint, alifanya kile kilichotarajiwa huku akipewa sapoti na Kelly Rowland pamoja na Michelle Williams, katika kukumbushia Destiny's Child. 
Beyonce
 Angalia hapa video ya dakika 12