Nani kasema mapenzi yamekwisha? Hata kama ukinitoa manundu nakupenda tu
Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Friday, 4 January 2013
RICK ROSS ALIVYOWARUSHA WATU MKESHA WA MWAKA MPYA
Rick Rozay akiwarusha mashabiki wake katika mkesha wa mwaka mpya katika visiwa vya Bahamas.
BAADHI YA WALIOHUDURIA KATIKA MSIBA HUO WA SAJUKI
katika waliohudhuria katika msiba huo alikuwepo Naibu Waziri wa mawasiliano na Uchukuzi Mhe.January Makamba, Mkurugenzi wa Clouds Media Rugemalila Mutahaba al maarufu kama "Ruge", Steve Nyerere pichani hapo juu na baadhi ya wasanii wenzake kama Issa Mussa (Claud), Hisani Muya (Tino) katika picha hapo chini
RATIBA YA MAZISHI YA SAJUKI
Ratiba ya mazishi ya SAJUKI ilikuwa ni kama ilivyo hapo juu, picha ya chini ni baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu huko Tabata.
MAZISHI YA SAJUKI
RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AHUDHURIA MAZISHI YA SAJUKI
Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa anaweka mchanga katika kaburi la marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) ikiwa ndiyo safari ya mwisho ya msanii huyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)







