Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Wednesday, 10 October 2012
Tuesday, 9 October 2012
AY NA CP KUPERFORM KWENYE ROAD2CHOMVA12 LIVE AT BILLICANAS
We all know AY na C Pwaa wamachaguliwa kuwania tunzo za Channel O Music Video Awards mwaka 2012.
C Pwaa amechagulia kuwania tunzo ya "Most Gifted Dance Video Of The Year" kupitia video yake ya "Hhmmm" (Code: 5F) wakati AY anawania tunzo tatu za MOST GIFTED MALE VIDEO kupitia video yake ya aliyowashirikisha Romeo & Lamyia ya "Speak With Your Body" (Code: 1E) pia MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO kupitia collabo yake na Sauti Sol – I Don’t Want To Be Alone (code: 13C) bila kushau MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR through Speak With Your Body song with Lamyia and Romeo.
Kupitia ukurasa wa facebook wa CPwaa jana ali-post kuhusiana na performance watakayoifanya kabla ya awards hizo maarufu kama "Road to CHOMVA 2012" itakayofanyika tarehe 28 ya mwezi huu pale Club Billicanas toka kwa AY na yeye mwenyewe huku pia upande mwingine ambao pia watapewa support toka wka Ngwair na Mwana FA.
ushahidi huu hapa...
Kuendelea kuwapigia kura wawakilishi wetu hawa ingia hapa http://www.facebook.com/channelotv.
Download Rick Ross' The Black Bar Mitzvah Mixtape
Rick Ross aliyekuwa jijini hapa kwa ajili ya kukisanua kwenye concert ya Fiesta iliyo-happen at Leaders Club kaachia his official mixtape iitwayo "The Blck Bar Mitzvah" ndani yake kukiwa na collabos za wasanii kamaDrake, Gunplay, Lil Reese, 2 Chainz, Pharrell, Diddy na wengine wengi.
Download it hapa chini....
The Black Bar Mitzvah track list:
01 Intro
02 Don't Like
03 Mercy [ft. Rockie Fresh]
04 Us [ft. Drake and Lil Reese]
05 Rosenberg Skit
06 Birthday [ft. Diddy]
07 Burn
08 Clique [ft. Gunplay and Rockie Fresh]
09 911 [ft. 2 Chainz]
10 No Worries
11 Thumbin'
12 Presidential (Remix) [ft. Pharrell]
13 Bands [ft. Whole Slab]
14 Gone to the Moon
15 Itchin'
16 Ice Cold [ft. Omarion]
17 Bible on the Dash
18 Young 'n' Gettin It
02 Don't Like
03 Mercy [ft. Rockie Fresh]
04 Us [ft. Drake and Lil Reese]
05 Rosenberg Skit
06 Birthday [ft. Diddy]
07 Burn
08 Clique [ft. Gunplay and Rockie Fresh]
09 911 [ft. 2 Chainz]
10 No Worries
11 Thumbin'
12 Presidential (Remix) [ft. Pharrell]
13 Bands [ft. Whole Slab]
14 Gone to the Moon
15 Itchin'
16 Ice Cold [ft. Omarion]
17 Bible on the Dash
18 Young 'n' Gettin It
Click hapa uweze kui-download free kabisa...
Subscribe to:
Posts (Atom)



