Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday, 3 October 2012

MIKEL OBI AZINDUA RECORDING LABEL YAKE IITWAYO MMM

Mikel Obi ambaye ni midfielder wa Chelsea/Super Eagles amezindua his own record label kwa kushirikiana na rafiki zake wa karibu na kupewa tittle ya Matured Money Minds Records!! 
Swali ni je will MMM take over kama labels za MMG, YMCMB?...lets wait.

Tuesday, 2 October 2012

EXCLUSIVE: DIAMOND NA WEMA SEPETU SASA NDANI YA FILAMU MOJA YA "CROSS OF LOVE".


Kwa mara ya kwanza Diamond anatarajiwa kuonekana katika movie za Kibongo chini ya mwenyeji wake Wema sepetu ambaye alikuwa ni mpenzi wake wa zamani..
Filamu hiyo itakayomjumuisha Ommy Dimpoz itaitwa "CROSS OF LOVE".
Kwa mujibu wa chanzo chetu, movie hiyo imeandaliwa na kuandikwa na Seles Mapunda ambaye pia ni director wa filamu hiyo.
"Maandalizi ya filamu hiyo yapo katika hatua za mwisho kabisa na imebaki kazi ya casting ya washiriki 15 tu", Seles.
Hii ni nafasi nyingine kwa Diamond kukuza kipaji chak

PINI JIPYA: SHARO MILIONEA FEAT. ALI KIBA - CHANGANYA CHANGANYA


NEW SONG: SNURA AND WEMA SEPETU - SHOGA YAKE MAMA

NEW TRACK: NONINI - KWAMA NAO