Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Wednesday, 26 September 2012

NEW SONG: YOUNG DEE FT. JOTO & CHEKEDAA - BOMA LA UTETE


SI SIRI TENA: DIDDY NA CASSIE NI WAPENZI

Diddy na Cass
Baada ya kuwepo kwa minong'ono ya chini chini kuhusiana na issue ya Diddy kumu-engage bad boy chick, Cassie latest infoz ni kwamba wawili hawa wameridhia hivi majuzi waliridhia ku-share "mahusiano" yao kweupe.
Wawili hawa kupitia twitter, kila mmoja alipost instagram image ya mwenzake huku wakimwagiana sifa kibao.
Kama hukuziona zicheck hapa....



Friday, 21 September 2012

NANI KUIBUKA MALKIA WA MISS TMK LEO PALE PTA?

Shindano la kumsaka mlimbwende wa Kanda ya Temeke, Miss Temeke 2012 linafanyika leo katika ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam na mshindi atazawadiwa Sh. Milioni 1.5 mbali na tiketi ya kushiriki Miss Tanzania baadaye mwaka huu.
Hawa ndio wataochuana usiku wa leo...
Edna Sylvester (21)

Catherine Masumbigana (21)  

Jesca Haule (18)

Lilian Joseph (20)

Neema Doreen (20)

Zulfa Bundala (21)

Esther Albert (19)

Agness Goodluck (20)

Flaviana Maeda (22)

Elizabeth Peter (21)

Miriam Ntakisivya (21)


Elizabeth Bonigace (19) 


Angel Gasper (19)

NEW VIDEO:DIDGE AND COLLO -'KIPUSA'

ANGALIA VITUKO VYA LADY GAGA