Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Sunday, 16 September 2012

UNAJUA NI WAPI WALIKO MA-DANCER WA DIAMOND?JIBU LIKO HAPA....


Siku chache baada ya Diamond kurejea toka Marekani alikoenda kupiga show bila dancers wake alieonda nao radio mbao zilianza kuvumisha kuwa jamaa kamwagana nao na hawajulikai waliko.Kwa taarifa ya fans wa Diamond ni kuwa issue hiyo si ya kweli....ukweli uko hivi..."Nimeamua kuwaacha marekani kwa ajili ya mapumziko ya muda mfupi ili waweze ku-refresh akili na miili yao kwa sababu kiukweli wamefanya kazi kubwa kwa muda mrefu na iliyozaa matunda makubwa...hivyo kwa upendo na Heshima yangu kwao nikaona ni vizuri niwazawadie Mapumziko hayo nchini AMERICA..... mbali na hayo kuna kingine kikubwa ambacho soon ntawajuza nini wanakifanya pia huko America ili wakirudi wazidi kuleta levolution katika Industry hii ya Muziki Africa...", said Diamond. 





















































s

SENE TA - JEMBE (Official Video HD)

Saturday, 15 September 2012

BRIGIT ALFRED AIBUKA MSHINDI WA 2012 REDDS MISS KINONDONI



Top Three of Miss Kinondoni 2012.... Brigit Alfred (Winner), Diana George Hussein (First Runners up) and Irene David (Second Runners up)
Top five ilikuwa na warembo hawa Judith Sangu, Brigit Alfred, Diana George Hussein, Irene David and Kudra Lupatu.


HONGERA PIPI KWA KUTULETEA BABY BOY KINGSTONE


Pipi alias Doreen Lucas ambaye ni zao la Tanzania House of Talent (THT) jana alifanikiwa kujifungua salama mtoto wa kiume na kumpa jina la Kingstone.
 Hongera sana Pipi kwa hatua hiyo...

NEW VIDEO: JAFFARAI FEAT. NAZIZI - TEMBEA NA MIMI