Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Thursday, 6 September 2012

DMK GLOBAL & J& P ENT YAMSIGN DIAMOND KWA AJILI YA TOURS ZAIDI HUKO MAREKANI

Dickson mwenye t-shirt ya njano alipokuwa na Diamond na dancers wake pindi walipotua Marekani
Kweli Dimonds Are Forever.

Baada ya Diamond kutoa bonge la burudani kwa mara ya kwanza ndani ya ardhi ya America huko Washngton DC alikopelekwa na DMK Global & J & P Entertainment ambayo iko chini ya Dickson Mkama ambaye ni Mtezee aishie huko unaambiwa jamaa kaamua kumuongezea shavu la kupiga tours zaidi nchini humo mwezi Novermber.
Dickson ambaye yuko nchini kwa mapumziko mapema hii leo amaeandika hivi kwenye facebook timeline yake, 
"THIS IS SOME SORT OF BREAKIN NEWS....DMK GLOBAL & J&P ENT HAVE SIGNED A MOU FOR “DIAMOND ARE FOREVER USA TOUR“ COMING SOON IN NVMB IN A CITY NEARS YOU...DATES,CITIES AND VENUES TO FOLLOW .... STAY THIRSTY MY FRIENDS HE WILL BE BACK!!!".

NEW VIDEO: HAKUNA JIPYA BY MASANJA MKANDAMIZAJI




Tuesday, 4 September 2012

NEY AWAVAA KWEUPE WEMA SEPETU NA AUNTY EZEKIEL HUKO MWANZA


Chezea Ney Wa Mitego uone. 
Baada ya kuwachana kina P Funk aka Majani, Zay B, Sister , Dudu Baya na wengine kwenye songi lake la "Itafahamika", now Ney wa Mitego kahamia kwa mademu wa Bongo movie. 
Baada ya wimbo wake wa "Nasema Nao" kuzua utata mwingi kwa kuimba mistari inayowaponda mademu toka kwenye tasnia ya filamu nchini, hivi majuzi  jamaa ameonesha kutomwogopa yeyote baada ya kuwataja live live Wema Sepetu na Aunty Ezekiel kwamba ni makahaba. 
Tukio hilo lilitokea weekend iliyopita kwenye tamasha la Fiesta huko Mwanza ambapo kwenye kipande cha wimbo wake kinachosema makahaba wengi wapo bongo movie, alibadilisha kwa kusema "Makahaba wengi wapo bongo movie kama Wema Sepetu na Aunty Ezekiel", kitendo hicho kilimfanya Wema Sepetu alie sana kiasi cha hata kushindwa kupanda kwenye jukwaa la Fiesta mkoani Mwanza. Kwa upande wa Aunt Ezekiel ilifikia wakati mpaka akataka kumrushia ngumi msanii wa songi hilo. 
Ney alipoulizwa kuhusiana na kitendo hicho cha kutaja majina ya watu kweupe unajua alichojibu, "Sijakosea kusema vile nilimaanisha kabisa kweli hawa watu matendo yao yanaendana na ukahaba". 

Wema (kushoto) akiwa na Aunty Ezekiel (kulia)

HAPPY BORN DAY BEYONCE

Beyoncé Giselle Knowles-Carter alias Beyoncé, is an American singer, songwriter, record producer, dancer and actress.Leo ametimiza miaka 31 tangu kuzaliwa tarehe 4 September,1981 huko Houston.

D'BANJ NDANI YA ALBUM MPYA YA KANYE WEST ITAYOTOKA SIKU ZA HIVI KARIBUNI




Track list ya album ya Kanye West iitwayo "Cruel Summer" ime-leak hivi majuzi ambapo ndani yake msanii toka Nigeria kwa jina la D'banj ameonekana kushirikishwa kwenye album hiyo.

List yenyewe hii hapa;

G.O.O.D. Music - Cruel Summer Tracklist:

1. To The World (Feat. Kanye West & R. Kelly)
2. Clique (Feat. Kanye West, Jay-Z & Big Sean)
3. Mercy (Feat. Kanye West, Big Sean, Pusha T & 2 Chainz)
4. New God Flow (Feat. Kanye West, Pusha T & Ghostface Killah)
5. The Morning (Feat. Raekwon, Pusha T, Common, 2 Chainz, CyHi The Prynce, Kid Cudi & D'Banj)
6. Cold (Feat. Kanye West & DJ Khaled) 7. Higher (Feat. The-Dream, Pusha T & Ma$e)
8. Sin City (Feat. John Legend, Travi$ Scott, Teyana Taylor, CyHi The Prynce & Malik Yusef)
9. The One (Feat. Kanye West, Big Sean, 2 Chainz & Marsha Ambrosius)
10. Creepers (Feat. Kid Cudi)
11. Bliss (Feat. John Legend & Teyana Taylor)
12. I Don't Like (Feat. Kanye West, Chief Keef, Pusha T, Big Sean & Jadakiss)