Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Tuesday, 21 August 2012

MAY D OUT SQUARE RECORDS?

 

Juzi kati Jude Okoye ambaye ni bro na manager wa kina P Square alitoa tamko la kumtema May D ambaye alikuwa chini ya label ya Square Records huku sababu za kutemwa kwake zikiwa hazijulikanai.

Statement ya kutemwa kwa May D iliyotolewa na Jude ilikuwa kama ifuatavyo:

To Whom It May Concern
I, Jude 'Engees' Okoye of Square Records Limited and Northside Entertainment Limited hereby announces to the general public that Mr. Akinmayokun Awodumila, otherwise known as MAY D is no longer an artiste under the aforementioned outfits due to irreconcilable differences.
We at Northside and Square records wish him all the best in his career and life.
Yours Faithfully
Signed: Jude 'Engees' Okoye, CEO, Northside Ent. Ltd/Square Records


May D ambaye alifanya vyema kwenye ngoma ya "Chop My Money" aliyoshirikishwa na P Square alipoulizwakuhusiana na habari za kutemwa kwake unajua alisema nini? Eti hajui kama ametimuliwa habari hizo amezisoma kwenye blogs na social media nyingine kama wengine walivyozisoma.

  "I don't know what they are talking about. You know I don't stay in their house, so how am I meant to know this?"

Nao marafiki wa karibu wa May D walikuwa na haya ya kusema,"We believe that the contract between them was not consummated on the internet, how come a disclaimer was issued to bloggers and journalists without properly serving notice to the person involved?"

BI KIDUDE MGONJWA NA HANA MSAADA




Taarifa kutoka Zanzibar zinadai kuwa mwanamuziki mkongwe wa Taarab nchini Bi. Kidude anaumwa na hana msaada wowote.

Inadaiwa kuwa mjukuu wake alizungumza na televisheni ya Zanzibar na kulalamika kuwa bibi yake hana msaada na hivyo kumuuguza kwa shida.

Taarifa zaidi zinasema Bi. Kidude anaumwa tangu wiki iliyopita.

VIDEO MPYA YA DNA-MASWALI YA POLISI

ANGALIA INTERVIEW YA RIHANNA NA OPRAH-BADO ANAMPENDA CHRIS BROWN


(FULL VIDEO) Oprah's Next Chapter: Rihanna |... by Ashley_Miller_3

Monday, 20 August 2012

ALBUM YA ROSE MUHANDO CHINI YA SONY MUSIC OUT SOON

 
Kampuni ya Sony Music Group kupitia label iliyo chini yake ya ROCKSTAR4000 imesema albam mpya ya Rose Muhando ipo kwenye utayarishaji wa mwisho mwisho ili iweze kutoka.

“In studio finishing album & music videos of 1 of Africa's biggest selling artists, Rose Muhando. Asante Sana! @SevenMos @SonyMusicAfrica,” ROCKSTAR4000 imeandika kupitiwa Twitter jumapili hii.

Hata hivyo haijasema albam hiyo inafanyika wapi japo wasanii wengi wa Sony Music Africa hurekodi nyimbo zao nchini Afrika Kusini.

Mwaka jana Rose Muhando alisaini mkataba wa kihistoria wa kurekodi albam tano na Sony Music Entertainment chini ya uongozi wa ROCKSTAR4000.