Tanzania top model audition
Tanzania top model audition
Tuesday, 21 August 2012
Monday, 20 August 2012
ALBUM YA ROSE MUHANDO CHINI YA SONY MUSIC OUT SOON
Kampuni ya Sony Music Group kupitia label iliyo chini yake
ya ROCKSTAR4000 imesema albam mpya ya Rose Muhando ipo kwenye utayarishaji wa
mwisho mwisho ili iweze kutoka.
“In studio finishing album & music videos of 1 of
Africa's biggest selling artists, Rose Muhando. Asante Sana! @SevenMos
@SonyMusicAfrica,” ROCKSTAR4000 imeandika kupitiwa Twitter jumapili hii.
Hata hivyo haijasema albam hiyo inafanyika wapi japo wasanii
wengi wa Sony Music Africa hurekodi nyimbo zao nchini Afrika Kusini.
Sunday, 19 August 2012
RAPPER KEKO KUFANYA KAZI NA MWANAFA PAMOJA NA FID Q
We all know rapper wa kike kutoka nchini Uganda Keko yuko jijini Mwanza Eid hii atakapokuwa akiwasha moto ndani ya hoteli ya Star Max.
Singer wa "Make You Dance" ambaye hii ni mara yake ya kwanza kukanyaga ardhi ya Taznania amesema pamoja na kuja Mwanza tayari yupo kwenye mazungumzo
na MwanaFA kwa ajili ya kufanya ngoma pamoja. ‘I am big fan of Mwana FA we are actually
working out something as we speak . I am looking forward and hopefully bumping
to Fid Q when I am in Mwanza, ” amesema.
Ameongeza kuwa kama kuna promoter yeyote wa Dar es Salaam
ambaye angependa kufanya show naye nafasi ipo wazi.
Saturday, 18 August 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)










