Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Monday 9 September 2013

"MIKE TYSON AKARIBIA KUFA"

Mtupa makonde mashuhuri Ulimwenguni, Mike 'Iron' Tyson yupo katika hali mbaya kiafya. Hayo ameyatamka yeye mwenyewe akiwa katika shughuli ya ku-promote ESPN's Friday Night Fights huko Turning Stone Resort, New York Ijumaa iliyopita. 

Tyson alikaririwa akisema, "Wakati mwingine mimi ni mtu mbaya, nimefanya vitu vingi vibaya na nahitaji kusamehewa. nahitaji kubadilika. nataka kuishi maisha mazuri nikiwa timamu. Sitaji kufa, vile kwasasa niko hatarini kufa kwasababu siwezi ishi bila kutumia madawa ya kulevya au kilevi kikali chochote".

Mike Tyson alikwenda rehab mara tatu na angalau sasa hivi anaanza kuonyesha matumaini ya kupona toka katika matumizi ya madawa ya kulevya!


No comments:

Post a Comment