Tanzania top model audition

Tanzania top model audition
Tanzania top model audition

Monday 24 June 2013

OMMY DIMPOZ ASHAMBULIWA, AOMBA RADHI DODOMA!

Unaikumbuka ile kauli aliyoitoa Ommy Dimpoz iliyoonekana moja kwa moja inamkashifu Surname wa Freestyle Tanzania, hayati Mangwea? Kama ndio basi ile kauli imesababisha msanii huyu matata mwenye mbwembwe kibao kuambulia kichapo na kuzomewa alipopanda jukwaani huko katika mji mkuu wa Tz, Dodoma (katika tour ya Kili Music Awards) ambako ndio makazi rasmi ya Ngwea kimuziki yaani East Zoo!

Baada ya kichapo hicho Ommy kupitia akaunti ya Twitter aliomba radhi kwa kauli yake kwa Ngwea;-


No comments:

Post a Comment